Fursa biashara viatu vya kiume

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,946
3,624
Image_20230831161636.jpg

Image_20230831161645.jpg

Image_20230831162146.jpg

Image_20230831162159.jpg

Image_20230831162212.jpg

Image_20230831162244.jpg

Image_20230831162306.jpg

Image_20230831162318.jpg

Image_20230831162340.jpg

Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya kiatu 11500+Usafiri 2000+Mimi 500=14000
14000x60=840,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 11500x60=690,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 2000x60=120,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 500x60=30,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 30) kila pea 16000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila pea 17000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila pea 20000
Bei rejareja (pea 1) 25000-30000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
 
Boss samahani kama naharibu biashara . I was into nikuagize ila hizi bei. Mbona ghali sana kwa kuagiza. Unaweza review bei zako, haswa kwa dizain ya viatu vyako. Maana atleast mtu aweke dukani auze kwa 15,000. Or badrisha supplier.
 
Kwani ivo viatu vikifika havilipiwi mapato au ukishalipa ya kununua mzigo ndo unakua umeingia kifungon garama zinakuja baadae
 
kila aina ya kiatu huwa na bei na zingatia now bei imepanda sababu ya shilingi kudumaa toka 330 yuan mwaka jana now 379 forex .Hapo unaweza kuona bidha zinavyopanda soon tz.Pia usijali nitacheki design zingine kwa unafuu zaidi
 
gharama za usafiri zimejumuisha na tozo zote za serikali
 
View attachment 2734635
View attachment 2734636
View attachment 2734637
View attachment 2734638
View attachment 2734640
View attachment 2734642
View attachment 2734643
View attachment 2734644
View attachment 2734645
Bei Ya China Bila Usafiri 11500 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 60
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya kiatu 11500+Usafiri 2000+Mimi 500=14000
14000x60=840,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 11500x60=690,000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 2000x60=120,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 500x60=30,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 30) kila pea 16000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila pea 17000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila pea 20000
Bei rejareja (pea 1) 25000-30000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
Bei bado ni hizo?
 
kila aina ya kiatu huwa na bei na zingatia now bei imepanda sababu ya shilingi kudumaa toka 330 yuan mwaka jana now 379 forex .Hapo unaweza kuona bidha zinavyopanda soon tz.Pia usijali nitacheki design zingine kwa unafuu zaidi
kumbe unavitoa china hongera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom