Fursa biashara viatu vya kike

Salahan

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
2,946
3,624
Image_20230830193812.jpg
Image_20230830193040.jpg
Image_20230830193712.jpg
Image_20230830193639.jpg
Image_20230830193629.jpg
Image_20230830193552.jpg
Image_20230830193517.jpg

Bei Ya China Bila Usafiri 7000 kwa pea
Makadirio Usafiri kwa meli 2000-3000 kwa pea (Unalipia baada ya mzigo kufika bongo)
Gharama za usafiri zimejumuisha tozo zote za serikali
Makadirio Muda wa usafiri siku 30-45
Kima cha chini kuagiza (Moq) pea 120
Gharama zangu ikiwa utahitaji nikuagizie ni 500 kila pea
*****************************************************************
Gharama kiujumla
Bei ya kiatu 7000+Usafiri 2000+Mimi 500=9500
9500x120=1,140,000 Gharama Kiujumla
Unaweza kulipa kwa hatua tatu
1.Bei 7000x120=840000 hapa tunanunua na kuanza usafiri
2.Usafiri 2000x120=240,000 unalipia baada ya mzigo kufika (siku 30-45 tangu siku ya manunuzi)
3.Gharama zangu 500x120=60,000 unalipia baada ya kupokea mzigo wako
******************************************************************************
Biashara Hii Bongo
Bei kwa katoni (pea 30) kila pea 12000
Bei kwa dazeni (pea 12) kila pea 13000
Bei Kwa Jumla (pea 5) kila pea 15000
Bei rejareja (pea 1) 20000-25000
********************************************************************
Karibuni Nitaendelea kupost bidhaa zaidi kulingana na muitikio wenu
Salim Mhina
0713055107
Morogoro Mjini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom