BAKITA mtatuua ni hiki Kiswahili chenu mnachokiita "Fasaha"

Jokofu ni neno common sana
Wengi huita friji nina hakika na hilo..

Sikumbuki mara ya mwisho humu niliona neno jokofu lini katika maandishi ambayo lilipaswa kuwepo ila wameandika "friji"

Pitia humu hata nyuzi za matangazo ya majokofu uone nyuzi ngapi zina hilo neno.
 
Achana na mtandaoni, mtaani tunalitumia sanaa.
 
Hii misamiati yenu huwa mnaibuni kutoka wapi aisee

1. Charger – kimemeshi
2. Appetizers –vihamuzi
3. Simcard – kadiwia/mkamimo
4. Memory card –kadi sakima
5. Business card – kadikazi
6. Microwave –tanuri miale
7. Cocktail party – tafrija mchapalo
8. Lift – kambarau
9. Toothpick – kimbaka
10. Scanner –mdaki

Ongezea misamiati mingine yenye utata.....
Kuna kipindi fulani Rais wa Uganda aliwahi kushauri tutumie maneno ya kibantu kwenye kiswahili nadhani ndo haya ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom