Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

Mkuu, jikingine usionekene...Mwenyekiti anayesemwa hapo ni yupi, umejua? Mwenyekiti wa mtaa, kijiji, chama?

Magufuli alihusika kuchagua wenyeviti wapi?

Mlisema Bwawa ni kosa la Magufuli, mnaendelea kuona aibu!
Tunaona aibu gani? Uko Tanzania na una kichwa kinafuga nywele tu. Yaani hujui nani aliharibu uchaguzi wa 2020
 
Hivi ulishirikisha ubongi kweli wakati unaandika haya!!?!
Kwenda mahakamani!!!??
Nyie ngojeni muone mtakavyopigwa tena 2025. Wenzenu washaanza kupita kwa wananchi mapema. Ile kazi alopiga JPM si ya kitoto, hakutegemea tena pesa ya matajiri kupiga kampeni, wananchi waliona na wakajibu kwenye sanduku!! Kama mliibiwa basi fursa ilikuwepo kwenda mahakamani, vyombo hivi hivi mlikuwa mkienda na mlikuwa mnashinda kesi, utasikia "Kibatala aibwaga Serikali mahakamani, uchaguzi kurudiwa" hamjiulizi, mliibiwa nchi nzima? Mlikuwa mmesinzia?
Tatizo nyinyi hampo mashinani, vyama vipo makao makuu tu na kupiga blah blah na kupiga pesa za ruzuku na misaada. Wananchi hawana cha kukupimeni.
Pesa haiendi chini kujenga vyama vyenu!
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na mgufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020,ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavuokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!
Hahaha......viongozi wengi hatujawachagua sisi
 
Binafsi kuna baadhi ya mambo aliyoyafanya magufuli mazuri na ya kupongezwa. Lakini katika hili la uchaguzi wa 2020 kwakweli mwamba alikosea na ili kuficha aibu akaweka na wabuge wa wa upinzani pamoja na kuvuliwa uanachama akaendelea kuwang'ang'nia.
Ilw aibu imefuta mazuri yoote aliyofanya.

Kwa kweli ukiwaza huwezi kujua Lengo lake lilikuwa nini hasa.
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na mgufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020,ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavuokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!
Hapo wanaongea na Mbunge aliyechaguliwa mwaka 2020, huyo mzee anazunguza uchaguzi wa mwenyekiti wao mtaa ambao nadhani ulikuwa mwaka 2019. Ni chaguzi mbili tofauti ila mleta mada unataka kuzifanya ni kitu kimoja. Ingekuwa ni hivyo, basi angemwambia huyo mbunge kuwa sisi hatukukuchagua wewe, ambaye ndiye aliyechaguliwa 2020
 
Ni kitu kimoja na matukio yalifanana
 
Ni uchaguzi wa mwaka gani haukuwa na dhulma?

Tangu 1995 wanaoshindwa uchaguzi chorus imekuwa hiihii tu.

Hakuna jipya hata 2025 ni wimbo uleule tu wa miaka yote.
 
Hapo wanaongea na Mbunge aliyechaguliwa mwaka 2020, huyo mzee anazunguza uchaguzi wa mwenyekiti wao mtaa ambao nadhani ulikuwa mwaka 2019. Ni chaguzi mbili tofauti ila mleta mada unataka kuzifanya ni kitu kimoja. Ingekuwa ni hivyo, basi angemwambia huyo mbunge kuwa sisi hatukukuchagua wewe, ambaye ndiye aliyechaguliwa 2020
Uchaguzi wa serikali za mitaa wa mwaka 2019 ulijaa uhuni ambao haujawahi kutokea tangia uhuru wa mwaka 1961.
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli, ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na Magufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020, ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavyokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!
Yaani Magufuli hafutiki kwenye midomo ya wabaya wake !
Na pia hatofutika kwenye mioyo ya wale wanaoitakia mema Inji hii !!

Ukiisikiliza na kuiangalia vizuri hiyo video utaona wazungumzaji wote walikuwa wametayarishwa vizuri na wamefundishwa nini cha kuongea 😅😅🙏

Eti bwana Yai bovu na mwingine angeitwa bwana Nguo mbovu ! 😅😅🤣🤣🙏

Mtahangaika sana lakini HATUDANGANYIKI !!
 
Huyu mzee tungemchagua yeye angetujengea bwawa la umeme, SGR na kutuletea ndege mpya kutoka viwandani?
Una hoja za kijinga sana wewe. Kitu gani hujaelewa kutoka kwa wazee hao? Acha kujitoa ufahamu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom