Asikilizwe Huyu Mzee tunaposema uchaguzi wa mwaka 2020 haukuwa uchaguzi bali ni uhuni muwe mnatuelewa!!

Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi
Hiyo, na ndiyo maana inakuanika mno boss! Unaongelea kifo ambacho humchukua hata mtoto mchanga asiye na hata chembe ya dhambi?
 
Uchaguzi huru, wa wazi na wa haki, utafanyika humu nchini kwa mujibu wa katiba, sheria, kanuni na taratibu za nchi. Na sio kulingana na maoni, mtazamo, matakwa, malalamiko au maelekezo ya mtu fulani mahala fulani. No, haipo hivyo 🐒

Mtazamo na maoni ya mtu, yasikilizwe na kuheshimiwa, kuongeza ufahamu, tahadhari, maboresho baadae, na uelewa wa masula ya uchaguzi na si vinginevyo🐒

Ni vuzuri zaidi, kujiandaa na kujipanga vizur kushiriki chaguzi zijazo kikamilifu, kwa hiari bila shuruti au mihemko, ili utulivu na Amani ya Mama Tanzania iendelee kutamalaki bila hamaki kwa waTanzania wote 🐒
Uchaguzi huru na wa haki hufanyika kwani kila anayestahili kupiga kura anapiga kwa wakati wake. Kinacholalamikiwa ni uhalali wa matokeo ya kura zilizopigwa.
 
actually,
kila raia ana haki na uhuru wa kulalamika kwa njia za kisheria na kistaarabu, ikiwa kwa definition, mtazamo au maoni yake, dhidi ya uhalali wa matokeo kwamba, hayakutolewa kwa njia halali au ilokua nzuri, bila kuleta usumbufu wala taharuki kwa wengine walioridhika na matokeo hayo 🐒
 
Nyie ngojeni muone mtakavyopigwa tena 2025. Wenzenu washaanza kupita kwa wananchi mapema. Ile kazi alopiga JPM si ya kitoto, hakutegemea tena pesa ya matajiri kupiga kampeni, wananchi waliona na wakajibu kwenye sanduku!! Kama mliibiwa basi fursa ilikuwepo kwenda mahakamani, vyombo hivi hivi mlikuwa mkienda na mlikuwa mnashinda kesi, utasikia "Kibatala aibwaga Serikali mahakamani, uchaguzi kurudiwa" hamjiulizi, mliibiwa nchi nzima? Mlikuwa mmesinzia?
Tatizo nyinyi hampo mashinani, vyama vipo makao makuu tu na kupiga blah blah na kupiga pesa za ruzuku na misaada. Wananchi hawana cha kukupimeni.
Pesa haiendi chini kujenga vyama vyenu!
Haya uliyoandika ndio sababu ya wagombea wa upinzani kuenguliwa bila sababu? Ndio sababu ya watendaji wa tume kukimbia ofisi wasipokee fomu za wagombea wa upinzani? Ndio sababu ya mgambo kuingiza mafurushi ya kura bandia kwenye vituo vya kupigia kura? Ndio sababu ya mawakala wa vyama vya upinzani kuzuiwa kufanya majukumu yao?
 
Hiyo, na ndiyo maana inakuanika mno boss! Unaongelea kifo ambacho humchukua hata mtoto mchanga asiye na hata chembe ya dhambi?
Ninajuwa nitakufa, ila hiyo sababu ya kukaa kimya kwa uovu wa dikteta Magufuli
 
Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi

Nikitazama hii comment yako, then nikitazama na avatar yako...

Najikuta nakumbuka jinsi Magufuli alivyomchachafya yule askari magereza wa Butimba ambaye ndio huyo kwenye avatar...
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na mgufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020,ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavuokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!

Huyu mzee tungemchagua yeye angetujengea bwawa la umeme, SGR na kutuletea ndege mpya kutoka viwandani?
 
Huyu mzee ameongea ukweli 100%. Magufuli ni jambazi lililoiba uchaguzi wa 2020 bila soni mchana kweupe kama lilivyotaka kumuua Tundu Lissu mchana kweupe.

Mungu hadhihakiwi. Liko wapi sasa?

Lipo kwenye sgr, bwawa la umeme na ndege
 
Nikitazama hii comment yako, then nikitazama na avatar yako...

Najikuta nakumbuka jinsi Magufuli alivyomchachafya yule askari magereza wa Butimba ambaye ndio huyo kwenye avatar...
Huyo jamaa wa Butimba ni kati ya mashujaa ambao hawakukubali kutishwa na dikteta
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na mgufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020,ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavuokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!
Wananjaa hao
 
Sijambo la kuhoji...WIZI ulikuwa mkubwa mmno,mawakala upinzani walifukuzwa chumba cha kupigia kura na maelekezo ikawa sio ashinde Bali ashinde Kwa kishindo!!!
 
Tatizo alikuwa ni Magufuli na ndiyo maana baada ya kumaliza ufedhuli huu akafariki kabla ya miezi 4. Mungu hazihakiwi
Mkuu, jikingine usionekene...Mwenyekiti anayesemwa hapo ni yupi, umejua? Mwenyekiti wa mtaa, kijiji, chama?

Magufuli alihusika kuchagua wenyeviti wapi?

Mlisema Bwawa ni kosa la Magufuli, mnaendelea kuona aibu!
 
View attachment 2971369

Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli,ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.

Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na mgufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020,ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.

Natumai kadiri siku zinavuokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!
Fisiem oyeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🪑🪑🪑🎶📌
 
ccm wawe wanaelewa walau kidogo.
Kwa sasa wananchi wajinga wakudanganywa kama wapo ni wachache mno.
Uovu wao unajulikana na wengi.
Wahenga walisema siku za mwizi ni arobaini tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom