Konny Joseph
Member
- Aug 28, 2016
- 98
- 172
Tumekuwa tunatumia nguvu nyingi kusifu na kuficha madhaifu ya Magufuli, ila Mungu kwa rehema zake amekuwa anayafichua kwa namna anayoitaka yeye.
Wazee hawa wanadhihirisha dhulma kubwa iliyofanywa na Magufuli katika uchaguzi wa mwaka 2020, ambao wahafidhina wa chama tawala wanalazimisha kuficha ukweli huo.
Natumai kadiri siku zinavyokwenda mbele yataibuka maovu mengi yaliyofanywa na mwanakwenda zake ili wale wanaotetea wafedheheke!!