Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jesus akiondoka ni maamuzi ya bodi zaidi kuliko ya Arteta
Nikimtizama akiwa benchi naona anakosa furaha, hajioni kama yeye ni mchezaji wa benchi, haoni kama yule anayeanza kamzidi. Kuna wachezaji wakianza nawe uko benchi wala husononeki, unachoombea ni timu ipate matokeo mapema/waumie au kuchoka ndio upate nafasi, na wakati mwingine wakiumia na matokeo bado hata wewe wa benchi unasononeka(unapagawa)
 
Kwa forwards zetu za sasa hakuna ambaye 100% anamnyima namba Jesus. Fair deal ingekua kupokezana.

Mchango wa Kai umekuja kwa kuaminiwa mara kwa mara mpaka confidence imepanda na ana bahati jamaa hapati injuries sana. Jesus ukimuamini games mbili ya 2 anapata injury anakaa nje game 4 mpaka 6.

Lakini kusema kwamba Arteta ana hamu jamaa aondoke hapana. Bado Jesus ana uwezo wa kucheza namba ya Odegaard, Saka, Martinelli na 9
 
Imani na uvumilivu alivyopewa kai, angepewa jesus, huenda tungekuwa hatua kadhaa mbele, jesus ni mtu saana linapokuja namba 9, anakupa vingi mnoo
 
Halafu haya mambo ya magazeti sio ya kuamini kwa asilimia mia...auzwe Jesus aachwe Nketiqh...sidhani...hii itakuwa kama ishu ya Partey na Malgalhaes kipindi kile magazeti yanqchochea anaondoka...ila wakabaki....mchezaji ambaye utanambia anaondoka nikaamini kwa asilimia mia ni Ramsdale maana hata attitude yake inaonesha ila sio hao wengine...magazeti ya England umbea mwingi
 
Hilo pia tatizo jingine la magazeti ya UK.

Kwa umri wa Jesus naona bado kuna kitu anaweza kuoffer. Kama Jorginho anaongezewa mkataba ila ikawa ngumu kwa Jesus naamini ishu itakua ni injuries zaidi kuliko uwezo
 
Kikubwa acha dirisha lifunguliwe then tutajua tu...ila ntakuwa mtu wa mwsho kuamini Jesus anaondoka kwa namna Arteta anavyowa handle wachezaji....sana sana naona anaweza kubadilishiwa majukumu uwanjani...let's wait and see
Hilo pia tatizo jingine la magazeti ya UK.

Kwa umri wa Jesus naona bado kuna kitu anaweza kuoffer. Kama Jorginho anaongezewa mkataba ila ikawa ngumu kwa Jesus naamini ishu itakua ni injuries zaidi kuliko uwezo
 
Imani na uvumilivu alivyopewa kai, angepewa jesus, huenda tungekuwa hatua kadhaa mbele, jesus ni mtu saana linapokuja namba 9, anakupa vingi mnoo

... Mchango wa Kai umekuja kwa kuaminiwa mara kwa mara mpaka confidence imepanda na ana bahati jamaa hapati injuries sana. Jesus ukimuamini games mbili ya 2 anapata injury anakaa nje game 4 mpaka 6..
 
" BREAKING: Lucas Hernández has torn his ACL and he will be out for the next 6/7 months.

Season over for PSG defender and he won’t be part of France squad at the Euros, confirmed.

Get well soon, Lucas! "

What a miss kwa PSG
20240502_215632.jpg
 
Back
Top Bottom