Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 32,184
- 64,468
Hilo pia tatizo jingine la magazeti ya UK.Halafu haya mambo ya magazeti sio ya kuamini kwa asilimia mia...auzwe Jesus aachwe Nketiqh...sidhani...hii itakuwa kama ishu ya Partey na Malgalhaes kipindi kile magazeti yanqchochea anaondoka...ila wakabaki....mchezaji ambaye utanambia anaondoka nikaamini kwa asilimia mia ni Ramsdale maana hata attitude yake inaonesha ila sio hao wengine...magazeti ya England umbea mwingi
Kwa umri wa Jesus naona bado kuna kitu anaweza kuoffer. Kama Jorginho anaongezewa mkataba ila ikawa ngumu kwa Jesus naamini ishu itakua ni injuries zaidi kuliko uwezo