makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 28,521
- 82,235
Kiushabiki, sidhani kama mashabiki wa Totteham wanatamani hata sare tu, nahisi wanatamani hata wafe goli 6, ila sijui kuhusu wachezaji ambao ni proffesional players... matumaini pekee ni kwa Totteham sioni mtu wa kuthubutu hata kutoa sare na city hii, city akiwa analitaka jambo lake ni hatari sana.Jirani..mechi itakayoamua kama tuna nafasi ya ubingwa ni Tottenham vs City.. wale wadogo zetu wakikaza basi ndoo tunabeba...ila wakizingua ndo itakuwa basi🤠ðŸ¤