Angalizo: Watu wa Kariakoo tusiende na matokeo yetu Tanga hali si nzuri kwetu

ANAYEFANYA USAJILI WA KAMA HUU ANAAKILI TIMAMU KWELI?????????
.
Mawinga. 2023
1. Peter Banda.
2. Jimyson Mwinuke.
3. KIBU Denis.
4.Said Ntibazonkiza.
5. CLOTUS Chama 10-11.
6. Aubin Kramo.
7. Essomba Onana.
8. Luis Miquesson.
.
Hili KOSA lilifanyika 2020.
Mawinga walikuwa kumi, ukiunganisha idadi Yao mchango WAO MAGOLi hayafiki hata 10.
.
1 Bernald Morison.
2. Perfect CHIKWENDE.
3. Hassan Dilunga.
4. Ibrahim Ajibu.10--⁷
5.peter Banda.
6.pape sackho
7. Dunkan Nyoni
8. Valentine Muhilu.
9. KIBU Denis.
10. RALY BWALYA 8-10--11.
.
UNAJIULIZA HUU USAJILI UNAFANYWA NA MTU MWENYE AKILI TIMAMU KWELI
 
This is Thimba zwane
 
Fainali ni Simba na Yanga hao wengine waendelee kujifunza
Mkubwa Mmoja wa Kariakoo ( Simba au Yanga ) anakufa ( anafungwa Mkuu niamini kwani hata Kinujumu ( Kinyota ) Siku na Tarehe hazijakaa sawa Kwao labda yafanyike tu Makafara makubwa ila hali ni mbaya kwa Wakubwa wa Kariakoo Mmoja wao Leo ( Jumatano ) au Kesho ( Alhamisi )
 
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi.

Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao.

Msije kusema sikuwatahadharisha.
Mkuu Gentamycine leo camouflage yako imevuja hadharani, pole sana!! siku zote nakusifu kuwa camouflage yako siyo ya kitoto, lakini leo wewe mwenyewe umeweka mambo hadharani kwenye kichwa cha uzi wako: Watu wa Kariakoo TUsiende(na wewe ukiwemo) na matokeo YEtu(na wewe ukiwemo) tanga hali si nzuri KWEtu(na wewe ukiwemo). Hiyo inaitwa kufumwa kweupe mchana kuwa Gentamycine ni mshabiki wa kariakoo/mwananchi/utopolo!! Hali si nzuri KWENU. Baada ya kufumwa huku na watoto wadogo wamekushuhudia, utaanzaje tena kusema wewe si wa kariakoo? Utaanzaje tena kusema wewe ni wa Msimbazi? Ngoja tuone utakavyojitetea-KARIBU!!
 
Simba huwa haijitambulishi kama mkazi wa kariakoo!!! Simba inajitambulisha kama mkazi wa Msimbazi!! Wewe na yanga yako ndio wa kariakoo!! Usilazimishe camouflage wakati leo camouflage imekugomea!!
 
Haya mambo ya nyota haya!!!haya hebu tujionee ila mi naamini topolo ndo linabamizwa leo iwe isiwe.
 
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi.

Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao.

Msije kusema sikuwatahadharisha.
Tulia mzee Genta,kwani mzee wa kilingeni anasemaje naye😂
 
Mkuu Gentamycine leo camouflage yako imevuja hadharani, pole sana!! siku zote nakusifu kuwa camouflage yako siyo ya kitoto, lakini leo wewe mwenyewe umeweka mambo hadharani kwenye kichwa cha uzi wako: Watu wa Kariakoo TUsiende(na wewe ukiwemo) na matokeo YEtu(na wewe ukiwemo) tanga hali si nzuri KWEtu(na wewe ukiwemo). Hiyo inaitwa kufumwa kweupe mchana kuwa Gentamycine ni mshabiki wa kariakoo/mwananchi/utopolo!! Hali si nzuri KWENU. Baada ya kufumwa huku na watoto wadogo wamekushuhudia, utaanzaje tena kusema wewe si wa kariakoo? Utaanzaje tena kusema wewe ni wa Msimbazi? Ngoja tuone utakavyojitetea-KARIBU!!
Shauri yako ukicheza anakujia na michafu😂
 
WASWAHILI WAPUMBAFU SANA

MPIRA UNA MATOKEO MATATU.

1. SALE.
2.KUFUNGWA.
3. KUFUNGA.

mi NAENDA na MATOKEO MATATU.
 
Nawatakieni uvumilivu mwema kwa matokeo yoyote yale (yasiyo ya Kufurahisha) ya Leo Jumatano na Kesho Alhamisi.

Mkifanikiwa sawa ila hali si nzuri kivile kinyota kwa wana Kariakoo wote au mmoja wao.

Msije kusema sikuwatahadharisha.
Hii inabakia kwa mwanaLunyasi, kazi kwenu
 
Back
Top Bottom