Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

Ukipata mtu Ali ye soma B.Sc Animal Science sua atakusaidia Zaidi
Sio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
 
Tuna tegemea kuwa na Kiwanda kidogo cha kuzalisha chakula cha mifugo aina mbalimbali, tunahitaji mwenye ujuzi na awe na uzoefu huo kwa kazi husika.

Kwa yeyote mwenye ujuzi huo namkaribisha
Pm
au email; godfreycyp@yahoo.com
Kwanza nikupongeze Kwa hatua kubwa unayotegemea kupiga,Cha kushauri kama ndo kwanza unaanza usitake kuingia gharama ya kutafuta sijui mtaalamu wenye ujuzi na uzoefu Kwa sababu ni ngumu kumpata na vile vile unaweza ukampata lakini usidumu nae Kwa muda mrefu,unajua Kwa nini ,ni Kwa sababu viwanda vingi vidogo vinakuwaga havina good working environment Kwa ajili ya shughuli za kitaalamu namaanisha quality assurance Kwa kukosekana vitu kama feed glinder,nir feed analyzer,hot air oven,analytical balance n.k
So moja Kwa moja ujanja wanaotumiaga wamiliki wa viwanda vichanga ni kulipa hela Kwa ajili ya kufanyiwa quality assurance ,mfano Kwa dar sample nyingi za feed hupelekwa pale vetenari kwenye ofisi za maabara ya taifa ya wanyama(Tanzania veterinary laboratory agency(TVLA)) hata pia viwanda vikubwa kama falcon,hill feed,nutrifeed,silverland,interchick nk Kuna baadhi ya test wao wenyewe hushindwa kufanya kutokana na ukosefu wa vifaa mfano test kama ya kupima soya so huingia ubia na kampuni nyingine au huwa wanapeleka pale tvla

Vile vile hii kazi ni ngumu Kwa upande wa quality assurance Kwa viwanda vichanga Kwa sababu ya ukosefu wa Standard Operating Procedure(sop) Kwa maana hii ndo huwa inamuongoza mtaalamu wa maabara kuhusu test husika inafanyika vipi Kwa hatua zipi ,Kwa muda Gani na Kwa kutumia vifaa Gani na kemikali zipi.

So kama unaona sijui interchick,falcon,hill feed,silverland nk mfano wanazalisha starter ya kuku ambayo ipo Bora ujue haitokei Kwa bahati mbaya lazima kuwe na good manufacturing practise(GMP) na good laboratory practice(GLP) ndo mambo kama hayo ya sop yapo humo humo ,so sop ikiwepo hata akichukuliwa mtu asiye na uzoefu kazi anaweza kufanya kutokana na sop huwa inatoa mwongozo Kwa vitu vingi kama aina ya test,hatua za kufanya test,muda wa kukamilisha test,materials za kufanyia test n.k

Vile vile jambo lingine ambaló ni changamoto Kwa viwanda vichanga ni ukosefu wa formula za kutengenezea aina mbalimbali za vyakula ,Kwa sababu hata Kwa viwanda vikubwa kuhusu formula huwa wanafanya Siri sana,Sasa unakuta mtu kamwajiri mtaalamu kwenye kiwanda chake ambacho ni kichanga ,na mtaalamu akasema apewe muda wa kufanya test mbalimbali Ili apate formula sahihi ,huwa inashindikana Kwa sababu ya wamiliki kukosa uvumilivu na kutaka matokeo ya haraka
 
Mimi nahitaji kufungu duka la dawa za mifugo na chakula cha mifugo, nimfugaji wa muda mrefu wa kuku na bata na kuku katika small scale.
Nilikuwa naomba muongozo kuanzia kwenye Vibali, experience, changamoto, na mbinu.
Nipo dar
 
Sio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Haya umejionea au kuna mtu amekusimulia? Animal science wanaijua sana hiyo proximate analysis
 
Sio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Boss unazungumzia anima science ipi...kama ni hii ya SUA basi watakuwa wanafeli mahali. Yani graduate wa animal science ashindwe Kufanya proximate analysis ya chakula...ashindwe Kufanya formulation ya chakula...ashindwe Kufanya quality analysis..ashindwe Kufanya research za formula mbalimbali za vyakula... seriously...mbona unawakosea heshima hawa watu...course Yao sehem kubwa nadhan inahusu management na nutrition ya wanyama
 
Sio kweli ,wewe umeongelea hivo Kwa ishu ya kujua animal nutrition,na hivo hata watu wa animal health and production ,Veterinary laboratory technology na hata biotechnology huwa wanasoma hio animal nutrition ,halafu kujua animal nutrition sio tiketi ya kuonekana kama kazi mtu ataiweza,Kwa sababu chakula kikitoka kwenye production kabla hakijaenda kwenye market lazima kifanyiwe quality assurance Kwa ajili ya kucheki ubora pamoja na usalama wake,so hapo lazima laboratory tests zifanyike kulingana na aina ya chakula,so unadhani hao watu wa animal science hizo laboratory test wanazijulia wapi maana hata kama kusoma wanasoma Kwa uchache sana
Animal nutrition anayosoma mtu wa Animal Science sidhan kama ni sawa kwa details kama anayosoma mtu wa VetMed, agriculture general..animal health au biotechnology....hata animal science wanasoma physiology.. anatomy.. clinical pathology na hata entomology..lakini huwezi kuwalinganisha na VetMed kwenye hizo field...na ndo utofauti uliopo kati Yao ..kila mmoja Kuna sehemu anaimudu...ANS ni manager and Vet ni daktar..habar ya Feed processing, analysis,and formulation ni field ya ANS..kumpa mtu wa Lab. Technology au VetMed ni kulazimisha
 
Nashukuru Kwa mchango wako mkuu, kwanza kabisa hao watu wa Veterinary medicine na agricultural general waondoe mimi sijawataja kabisa hapo juu,vile vile hata hao watu wa laboratory technology,bali Mimi niliwataja watu wa animal health and production, Veterinary laboratory technology pamoja na wa biotechnology,kwanza kabisa kuhusu animal science kusoma clinical pathology si kweli ,vile vile jambo nililogusia ambalo hao ndugu zetu wa animal science huwa wanafeli sana ni swala la analysis ambalo huwa linahusisha laboratory tests ambalo pia watu wa Veterinary laboratory technology na biotechnology ndo huwa wamebobea sana

Halafu sijataja mahali popote kuhusu swala la watu wa veterinary medicine na laboratory technology kwamba eti ndo wapewe kiupambele kuliko watu wa animal science na vile vile hivi unajua kama kwenye viwanda vingine vya vyakula vya mifugo kwamba kuna watu hadi wa chemist.
 
Nashukuru Kwa mchango wako mkuu, kwanza kabisa hao watu wa Veterinary medicine na agricultural general waondoe mimi sijawataja kabisa hapo juu,vile vile hata hao watu wa laboratory technology,bali Mimi niliwataja watu wa animal health and production, Veterinary laboratory technology pamoja na wa biotechnology,kwanza kabisa kuhusu animal science kusoma clinical pathology si kweli
Mkuu sijajua ila inawezekana unaweka self interest...nilishare baadhi ya course work na watu wa Animal science na hata huku field tupo nao..hata ukifungua module ya coz yao kwenye prospectus ya SUA wanasoma kitu kunaitwa animal diseases and management (pathology) japo haipo in details na ndo ilikuwa point yangu...nilitaka kukuelekeza tu kuwa animal nutrition anayosoma mtu wa VetMed au vet. Lab technology haipo in details kama anayosoma mtu wa Animal science.
Hakuna degree ya animal health and production kwa nchi yetu....halafu watu wa vet. Lab technology, biotechnology na lab technology kimajukumu wote wanaingiliana ndo maana niliwataja...

,vile vile jambo nililogusia ambalo hao ndugu zetu wa animal science huwa wanafeli sana ni swala la analysis
ambalo huwa linahusisha laboratory tests ambalo pia watu wa Veterinary laboratory technology na biotechnology ndo huwa wamebobea sana
Kuna ndugu hapo juu kagusia habari ya gharama na upatkanaji wa vifaa vya Kufanyia analysis...hii ni mpaka vyuoni...lakini kusema animal science hawajui Kufanya proximate analysis ya vyakula sio kweli (hii ni basic lab. Procedure ambayo kila animal science lazima aijue ukitoa ukilaza binafsi)....
Halafu sijataja mahali popote kuhusu swala la watu wa veterinary medicine na laboratory technology kwamba eti ndo wapewe kiupambele kuliko watu wa animal science na vile vile hivi unajua kama kwenye viwanda vingine vya vyakula vya mifugo kwamba kuna watu hadi wa chemist.
Mtoa tangazo kasema anatafuta mtaalam wa kutengeneza chakula Cha mifugo (animal feed formulator)
na sio feed analyst Wala chemist...nadhan unatoka nje ya maada...mtu wa vet lab technology au animal health anatakiwa apokee maelekezo kutoka kwa mtu wa Animal nutrition kuwa nn kifanyike..na sijasema vet lab hahitajiki...
 
Mkuu sijajua ila inawezekana unaweka self interest...nilishare baadhi ya course work na watu wa Animal science na hata huku field tupo nao..hata ukifungua module ya coz yao kwenye prospectus ya SUA wanasoma kitu kunaitwa animal diseases and management (pathology) japo haipo in details na ndo ilikuwa point yangu...nilitaka kukuelekeza tu kuwa animal nutrition anayosoma mtu wa VetMed au vet. Lab technology haipo in details kama anayosoma mtu wa Animal science.
Hakuna degree ya animal health and production kwa nchi yetu....halafu watu wa vet. Lab technology, biotechnology na lab technology kimajukumu wote wanaingiliana ndo maana niliwataja...
Acha kuassume mkuu ,Sasa niweke self interest Ili iweje,halafu kikawaida pathology inahusisha diagnosis,treatment and control of specific disease
Na vile vile pathology ni kubwa maana Kuna: 1.general pathology 2.systemic pathology 3.histopathology 4.gross pathology 5.clinical pathology ambayo huwa ina matawi yake kama cytopathology,hematology,copology/scatology,enzymology na biopsy.

Sasa hao watu wa animal science,je huwa wanasoma pathology ipi ambayo unaizumgumzia wewe na kumbuka kwamba huwezi kufanya diagnosis ya sample husika kwa ajili ya kupata majibu ya uhakika bila kuhusisha Laboratory tests.

Watu wa Veterinary laboratory technology na wa biotechnology pamoja na wa laboratory technology hawana mwingiliano wowote Kila mtu na specialization yake japokuwa mtu wa veterinary laboratory huwa anavitu vya ziada

Nitawaclassify kulingana na aina za maabara ambazo ni 1.diagnostic laboratory 2.industrial laboratory 3.research laboratory

So watu wa biotechnology kwao ni kwenye research laboratory, halafu watu wa Veterinary laboratory technology kwao ni kwenye diagnostic laboratory na vile vile watu wa laboratory technology kwao ni kwenye industrial laboratory.

Japokuwa kibongobongo jambo hilo huwa halifuatwi ndo maana Kuna mwingiliano sana ambao hufanya watu waonekane wapo sawa kimajukumu,wakati hawapo sawa kimajukumu.
 
Kuna ndugu hapo juu kagusia habari ya gharama na upatkanaji wa vifaa vya Kufanyia analysis...hii ni mpaka vyuoni...lakini kusema animal science hawajui Kufanya proximate analysis ya vyakula sio kweli (hii ni basic lab. Procedure ambayo kila animal science lazima aijue ukitoa ukilaza binafsi)....
Huyo mtu unayesema kagusia kuhusu habari ya gharama na upatikanaji wa vifaa vya kufanya analysis,ni Mimi hebu angalia comments za juu Kwa ajili ya kupata uhakika

Vilevile naona umekubali Kwa kusema kwamba vyuoni tena specifically sua maana ndo wanatoa hiyo degree ya animal science kwamba Kuna uhaba wa vifaa vya kufanya diagnosis ,Kwa hiyo moja Kwa moja ndo maana wanafunzi wanamaliza wakiwa ni knowledgeable lakini sio competent kutokana na kusoma sana theoretically.

Na kumbuka kwenye vifaa vya kufanya diagnosis Kila siku huwa vinakuja vifaa vipya na teknolojia mpya ,Sasa kama mtu hayupo competent unadhani atamudu vipi kwenda sambamba na hayo mabadiliko.
 
Mtoa tangazo kasema anatafuta mtaalam wa kutengeneza chakula Cha mifugo (animal feed formulator)
na sio feed analyst Wala chemist...nadhan unatoka nje ya maada...mtu wa vet lab technology au animal health anatakiwa apokee maelekezo kutoka kwa mtu wa Animal nutrition kuwa nn kifanyike..na sijasema vet lab hahitajiki...
Kiprotocol huwezi kuanzisha kiwanda chochote cha production ya product husika pasipo kuwa na formula ya kutengenezea hiyo product,ndo maana kwenye manufacturing industry yoyote kwenye sehemu ya production Kuna kuwaga si pagumu Kwa maana kazi inafanyika Kwa mazoea tofauti na sehemu ya kucheki quality ya product after production ,ndo maana si ajabu kukuta ata mtu wa darasa la saba anajua jinsi ya kufanya feed formulation.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom