2024 usimfanyie mwanamke financial favour yoyote

Hizo si nyodo Wala maringo mm naita ni roho mbaya, kwani kumjibu kistaarabu mtu aliekutongoza halafu humtaki inagharimu tsh ngapi, saa ingine mdada anakutukana bila sababu kisa umemtongoza tu kistaarabu, mpaka unajiuliza kwa tabia hii huyu mdada ataolewa au atadumu kwenye ndoa kweli Half american
Malezi na makuzi yanachangia hali hiyo pia, kuna watu hawana ustaarabu hata wa kufake kwa muda.
 
Mtoa mada ni mpumbavu mnataka wanawake wachapakazi, mkiwapata mnaenda kuchepuka na hao hao kausha damu kisa wanajua kukata viuno kuliko hao wachapakazi, karne hii sishauri mwanamke yeyote amuonee huruma mwanaume fukara kwenye mapenzi maana hamna shukrani muendelee kutapeliwa hivyo hivyo majnuni wakubwa nyie
Mpumbavu wewe na mama yako
 
Mwanamke akikuelewa hasumbui kabisa na kama unajua kum tame kama yuko karibu within 3 days lazma uwe ushamgonga. Akiwa nje ya mkoa atakufata tu.

Anaondoa password zote yani, ukiona mwanamke ni mtu wa kukuzungusha ilihali ushaonesha interest kwake ujue tu ni kwamba hakupendi wala hana hisia na wewe.
Hii inatokea kama una helaa na mwanamke anakuzungusha kuvua Kyupi...!!
 
2024 ukimtongoza demu akichomoa move on, don't keep friendly zone she will use you as a leverage for her financial needs. Kijana mwenzangu, 2024 date na mwanamke mwenye kazi halali inayomuingizia kipato ila hawa wanaamini kutoa mbususu pekee ndio uhalali wa kukubebesha shida zake piga hit and run. 2024 say no to "relationship kausha damu"
We utakuwa Mwanaume wa Arusha tu
 
Kuna baadhi ya Wanawake hawana aibu kabisa, kuna mmoja ni mshangazi classmate wa sister nilikutana nae mjini tukabadilishana namba akaanza kunisifia nimekuwa mbaba mara kunitafuta mara kwa mara nikabaki kushangaa huyu vipi, haikupita wiki ananiletea shida zake ana anaomba 1m, nilicheka na nilivyomjibu sina mpaka leo hii hajanicheki tena.
Alikuona wewe ni Msaidizi wa Makonda au Makamba hivyo akaamini wewe ni Mlamba Asali pesa ipo.

Alianza na Dau la 1M au alikuwa anatania?
 
Kuna mmoja nilikutana nae kwenye harusi tuka exchange number nikaimbisha siku ya 2 mtu ananiomba laki 2 out of thin air kwamba anataka ya saloon. WTF
Nikamuambia kwa hyo wewe mtu kuwa rafiki yako hadi akupe hela.

Mtu basi omba hata 50k utaeleweka mtu siku ya pili anataka laki 2. Hahaha kweli bongo tambalalez u know. Hahaha vijana madem wa kweli wapo na madem pisi kali njaa kali ni wa kumwaga pia.
Wa dizaini hii wanauza hadi Tigo sababu ya Pesa.

Ni watu wavivu na hwajui hata pesa inapatikana vipi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom