Nimefuatilia interview ya Prof. Safari aliyofanya majuzi, pamoja na mengine, nimeondoka na nukuu hiyo kwamba watanzania hawana utamaduni wa kusoma, kwe ye usafiri wa umma wanashindana kula.
Hii ni kweli kabisa, ni kama tuna mzimu wenye njaa ya kula, basi likisimama ni mbio madirishani au...
Habari zenu wana JF.
Pichani hapo jamaa aliekamatwa akichinja mbwa, akiwa na mbwa huyo, ameshamchinja tayari. Akijiandaa kwenda kumchuna na kumkatakata mishikaki.
Wazee wa kupenda mishikaki pili pili, muwe makini na wauzaji wenu. Kuna siku watu wataanza kulishwa na paka aisee.
Kuungua kwa soko la Mitumba Karume limefanya nifikirie mambo mengi mpaka jibu sina, kumbuka huyu bwana alipokuwa Mbeya mwendo wa kuwaka moto masoko, ilikuwa shida sasa naona imehamia DSM. Sasa huyu mkuu ana mkosi au kuna namna?
Pia soma: Soko la Kariakoo lateketea kwa moto
Taarifa kutoka ofisi ya Rais-Tamisemi jioni hii ni kwamba watumishi wawili ambao ni afisa elimu(msingi) na muuguzi msaidizi hospitali ya mkoa wa Arusha wachukuliwa hatua za kinidhamu baada ya video kuvuja wakifanya igizo la chanjo ya corona ambayo watanzania wengi hawaonyeshi kukubaliana nayo...
Rejea picha hapo juu
(picha kutoka mtandaoni)
Hayo ni makubaliano ambayo unahitajika kusaini kabla ya kupokea chanjo, kwamba uko tayari kwa lolote lile litakalo tokea na serekali haito wajibika.
Je, hii ina maana gani?
Je, ni kwamba Serekali haina imani na chanjo hiyo?
Au wanafahamu wao kwamba...
Machine ya kuvyatua tofali za kuchoma inauzwa,Bei TZS 8000000 complete.Ina uwezo wa kuvyatua tofali 12,000 hadi 15,000 ndani ya masaa 8.Ipo Morogoro Mjini.
Inavyofanya kazi check hapo :Tupigie +255738211205
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.