serikari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. cold water

    Tunaomba vyuo vya Serikali vijengwe mkoa wa Ruvuma pia

    Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi! Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi...
  2. Sina hili wala lile

    Kariakoo ni soko kubwa sana na litanufaisha watanzania kama serikari mambo kadhaa

    kariakoo hii Mpya ambayo inaweza kufunguliwa hivi karibuni, inaweza kuwa na Fursa nyingi kwa vijana na kwa watanzania kwa ujumla kama serikali itaacha mambo kadhaa yafuatayo 1. Kubana uhuru wa wafanya Biashara wadogo wadogo 2. Kupunguza tozo za biashara 3. Kutengeneza miundombinu itakayovutia...
  3. D

    EWURA inatia aibu kufungia vituo vya mafuta visivyouza

    Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji ya wafanyabiashara ya mafuta: Wakati mfanyabiashara anatafta mtaji huwa peke yake, Anapotafta eneo...
  4. Nsanzagee

    Serikari ya CCM ifanye kama inajikuna, iwape DPWORD shirika la Tenesco, wananchi tutazizima kwa furaha!

    Kwanza kabisa naulizaa! Hivi, Shirika letu hili hatarishi Tenesco linao wasomi wanaoweza kuona tukiondokana na usumbufu huu? Miaka nenda rudi ya utawala wa CCM na wataalam wake wa Tenesco, uwezo wao wa kufikiri unaishia tu pale Mungu anapoleta kiangazi chake, na akili za wataalam hao wa Tanesco...
  5. crankshaft

    News Alert: Niger: Jeshi lapindua Serikali

    Jeshi la Niger kupitia televishen ya taifa limetangaza kupindua serikali ya nchi hiyo. Shughuli site za serikari zimesimamishwa na mipaka ya nchi imefungwa. ====== Wanajeshi wa Niger wadai kumuondoa madarakani Rais Bazoum – DW – 27.07.2023 Grace Kabogo Kundi la wanajeshi wa Niger...
  6. Suley2019

    Serikali yaridhia kufuta tozo kwenye miamala ya simu

    Naibu Waziri wa Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano Injinia Kundo Mathew amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la Wizara hiyo chini ya Waziri Nape Moses Nnauye la kufuta tozo katika miamala ya simu. Naibu Waziri Kundo ameyasema haya leo July 04, 2023 akiwa katika ziara...
  7. Black Opal

    Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
Back
Top Bottom