ripoti ya cag 2021-2022

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mzee Samuel Sitta kamwe asingesubiri miezi 6 kujadili Ripoti ya CAG iliyojaa ufisadi

    Tuihukumu Mbeya, Mbeya ilitoa viongozi shupavu sana nchi hii na viongozi wenye kujiamini sana na wenye kusimamia misimamo yao kikamilifu, hapa tunamuona Prof. Mwandosya, Sugu, Mwakyembe na wengine wengi. Leo hii Mbeya kutuletea viongozi wa kitaifa aina ya Tulia ni aibu. Na kamwe Mbeya inabidi...
  2. sifi leo

    Meya wastaafu wa CHADEMA muigeni Boniface Jacob, onesheni wizi unaojitokeza kwenye halimashauri mlizohudumu

    Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa. Nitoe Rai kwa ex Mayor wote waliokuwa wakiongozwa na Chadema kujitokeza kichambua ripoti za mkaguzi ili kuonesha hali...
  3. Roving Journalist

    Zitto Kabwe: Bunge lisizuie mjadala, acha Watu waongelee hoja za CAG, huo ndio mchakato wenyewe

    Ameandika Zitto Kabwe, kiongozi wa ACT Wazalendo: CAG akishatoa ripoti yake AMEMALIZA. Ripoti yake ni ya mwisho. Ni FINAL. Kazi inayofuata ni ya Bunge. Umma ujue kwamba, kabla CAG hajatoa ripoti yake Serikali hupewa nafasi ya kujibu hoja za Ukaguzi. Baada ya Ripoti kutoka majibu sio kwa...
  4. Yoda

    Udhaifu wa Ripoti ya CAG 2021/2022

    Ripoti ya CAG inaongelea ufisadi na wizi wa mali za umma pamoja na hasara za mashirika kama ATCL au TTCL kwa ujumla wake. Inaonyesha ufisadi umefanyika katika shirika au ofisi fulani tu bila kuonyesha au kupendekeza mtu halisi anayepaswa kuwajibika au kuwajibishwa katika dai husika. Ripoti...
  5. SYLLOGIST!

    "Mama wa Shoka, Mama shupavu na hodari, Mama mwenye kujiamini na asiye babaika, mwenye uzoefu wa kutosha"

    Sio mwingine, bali ni Katibu Muenezi wa sasa CCM Sophia Mjema. Ni mnukuu Bwana Lucas ... Naamini ya bwana Lucas, manake mifupa inayotupwa humu jamvini baada ya Ripoti ya Mkaguzi mkuu wa Serikali CAG kutoka, imekuwa hatare. Mama Sophia Mjema anastahili pongezi kweli kweli.
  6. O

    Madudu ripoti ya CAG, tunaua nchi wenyewe

    Dar es Salaam. Rais Samia Suluhu Hassan amewataka watendaji wa Serikali, kusimamia vema rasilimali za nchi kwa kutumia mifumo na kuweka nidhamu, akisema kinyume na kufanya hivyo ni sawa na kuiua nchi yetu wenyewe. Mkuu huyo wa nchi ameeleza hayo wakati akifafanua kuhusu uzembe wa upitishaji wa...
  7. M

    Sijasikia Zitto Kabwe na chama chake wakitangaza uchambuzi wao wa Ripoti ya CAG

    Kipindi cha magufuli Zitto Kabwe na kijana wake Ado Shaibu walijinasibu sana kuichambua report ya CAG na wakaja na madudu ya 1.5 t kuwa zimopotea na hazijulikani ziliko na walijinasibu kweli, kwa bahati nzuri report ya CAG ipo kila mwaka na report ya awamu hii yote inagusa utawala wa Samia...
  8. ChoiceVariable

    Kwa Taarifa hii ya Upigaji kutoka Kwa CAG, naacha rasmi kuitetea Serikali

    Kupigania Serikali kwenye Haki ya upigaji kama hii wakati Mimi sipati chochote Hadi kuishia kuitwa chawa ni fedheha. Rasmi naacha Kuitetea Serikali wanaonufaika ndio waje Kuitetea na kujitetea.. Nitakuwa mpenzi mtizamaji na mchangiaji wa kawaida. Mwisho ila sio Kwa umuhimu,Kama Rais...
  9. ChoiceVariable

    Ripoti ya CAG 2021-2022: Mfuko wa Bima ya Afya Umepata Hasara ya Shilingi Bilioni 189

    Mfuko huu ukiacha hasara wanayoingiza Serikalini pia wametajwa na TAKUKURU kwenye ubadhirifu. Aidha Huu mfuko.unaongozwa na yule anayejiita Kamisama WA sensa na Spika Mstaafu Anna Makinda. Mh.Rais watu Hawa walioshindwa kazi Fukuza mda wa kuleana Kwa kuwakomoa Watanzania umekwisha.
  10. Erythrocyte

    Ripoti ya CAG 2021-2022: CAG apendekeza iundwe Tume Huru kuchunguza ukiukwaji kwenye Plea Bargain

    Katika Ripoti yake iliyotolewa leo, CAG amesema hivi, Nanukuu "Napendekeza Iundwe Tume Huru ya kuchunguza uwezekano wa ukiukwaji wa Maadili na Matumizi Mabaya ya Ofisi ya Umma katika mchakato wa kukiri kosa na kutaifisha mali za watuhumiwa" Mwisho wa kunukuu. Mimi binafsi naunga mkono hoja hii...
  11. K

    Ripoti ya CAG 2021-2022: Rais Samia ataka baadhi ya mashirika yasiyo na tija kufutwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu leo amepokea ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) pamoja na TAKUKURU. Katika ripoti hiyo CAG aliyataja mashirika 14 yanayoendeshwa kwa hasara ikiwemo TRC, ATCL na NDC. Rais Samia alisema kwa muda baadhi ya makampuni yamekuwa...
  12. Roving Journalist

    Rais Samia apokea Ripoti za CAG na TAKUKURU za Mwaka 2021/2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29, 2023 Ikulu ya Magogoni, Dar es salaam. CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia...
Back
Top Bottom