msamaha wa kodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mackj

    SoC04 Uwepo wa mpango wa huduma ya gari kwa kila kaya kwa msamaha wa kodi

    UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya maeneo na ukosefu wa usafiri wa uhakika pamoja na miundo mbinu duni hasa kwa mama na mtoto pamoja na...
  2. Sir robby

    Halmashauri bado hazijaanza utekelezaji wa agizo la Rais la kusamehe riba Kodi ya Pango

    Mh RAIS alitangaza kuwa Serikali yake imesamehe KODI ya PANGO kwa kuondoa RIBA kwa Wamiliki wa Viwanja wanaodaiwa KODI ya PANGO. KODI iliyosamehewa ni ile ya ADHABU/RIBA kutokana na Kuchelewa kulipa KODI sahihi ya Kiwanja na Akatoa MUDA wa Miezi 6 Yaani kuanzia July 2022 mpaka Desemba 2022...
  3. M

    Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
  4. Leak

    Rais Samia, ukiongezea Kanisa misamaha ya kodi, Wananchi na watumishi tupewe misamaha pia ili tumudu huduma za Kanisa

    Nakusalimu Mhe. Rais, Kwanza ni ukweli ulio wazi kuwa kanisa hasa la Katoliki limekuwa likitoa huduma nyingi sana kwa jamii hasa katika elimu na afya na wamekuwa wakitoa msaada mkubwa sana kwa jamii na serikali kwani wamekuwa wakichagiza maendeleo kwa ujumla na hutoaji huduma. Ukweli ni kwamba...
Back
Top Bottom