mkupuo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Serikali iwaajiri Walimu wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo

    Serikali kupitia OR TAMISEMI inawajibu wa kuwaajiri walimu hususan wahitimu wa mwaka 2015-2018 kwa mkupuo bila kujali masomo waliosoma. Walimu hawa wengi wao wapo mitaani wakirandaranda huku na kule ili kuwezesha mikono yao iende kinywani. KWANINI SERIKALI IWAAJIRI WALIMU HAWA KWA MKUPUO? 1...
  2. A.MTALE

    Fao maalum la Mkupuo la NSSF (Special Lumpsum Benefit)

    Wanajamvi Habarini za wakati huu. Napenda kufahamishwa kwa ajili ya ufahamu wangu na wengineo. Je kama umefungua madai NSSF ya special lumpsum benefit na status ikawa Approved na pia ukiangalia kwenye member's portal kwenye account yangu naona salio ni Zero na contributions zero na number of...
  3. MK254

    Balaa ya HIMARS, wanajeshi Warusi wafumuliwa 200 kwa mkupuo

    Haya madubwana ni hatari sana..... UKRAINE has reportedly wiped out hundreds of Russian soldiers who thought they were out of the range of danger. Sources say five US-made HIMARS missiles slammed into the squaddies who were gathered on a beach in the Kherson region. 7 Up to 200 of Putin's...
  4. Nyankurungu2020

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  5. MK254

    Urusi yashambulia kwa aina tofauti ya mizinga kwa mkupuo, yote yapigwa chini

    Jameni Afrika lini tutakua na mifumo kama patriot air defence, yaani Urusi imeshambulia Kyiv kwa aina tofauti ya mizinga zikiwemo drones, lakini zote zimepigwa chini....ama kwa kweli haya mambo bana...dah! Sayansi aisei Mamayooo!! Shambulio la leo lingeelekezwa kwenye taifa lolote hapa Afrika...
  6. MK254

    Ukraine yapiga chini drones 39 zilizotumwa na Urusi kwa mkupuo, Warusi wang'aka

    Mitandao ya Warusi hakukaliki, bloggers wanatukana serikali hadi balaa, yaani jana wanajeshi 400 wameuawa kwa HIMARS, halafu drones 39 za Iran zilizotumwa kwa mkupuo kupiga uraiani zote zimeshushwa, hivi vita vinazidi kuwa mfupa mgumu kwa Warusi, vinatamausha...
  7. U

    Nashauri Akili ze Brain apewe asilimia ya mauzo na si hela ya mkupuo kwenye wimbo wa Jugni x Mond

    Diamond amechukua vionjo vya ngoma ya Akili ze Brain inayoitwa Regina, akaenda kuomba kushirikiana na nyota mkubwa India mwenye mashabiki mabilioni na sasa kwa kutumia ubunifu wa Akili ze Brain na ustaa Jugni huko kwenye digital platform pesa zinaingia kila sekunde na ni nyingi zaidi ya matundu...
  8. Inevitable

    Kikokotoo(Mafao): Rais Samia anastahili pongezi kwa hili

    Jana, statement toka Ikulu ilieleza kuwa Rais Samia amepokea mapendekezo ya kanuni mpya ya mafao ya Pensheni, kama ilivyoombwa na chama cha wafanyakazi Tanzania (TUCTA) siku ya sherehe za wafanyakazi (Mei Mosi, 2022), ambapo sasa amekubali ombi la kupandisha malipo ya mafao, kutoka 25%...
  9. Yoda

    Wastaafu walipwe pensheni yote kwa mkupuo ndani ya mwaka mmoja baada ya kustaafu

    Kwanini wastaafu huwa wanendelea kulipwa kila mwezi pesa kidogo kidogo baada kupewa kwa mkupuo kiasi kikubwa pindi wanapostaafu badala ya kupewa pesa zao zote ndani ya muda mfupi wa kustaafu kwao? Hizi pesa za pensheni wanazopewa kila mwezi ni za kuganga njaa tu na huwa hawewezi kudunduliza...
  10. Mpandisha mishahara

    Mishahara ilipwe kwa mkupuo wa miezi mitatu mitatu

    Habari wanajamvi, binafsi niliwaza na kuwazua ni jinsi gani mishahara inaweza kuwa na uzito kwa mfanyakazi. Majibu niliyopata ni kwamba ifike hatua serikali ipitishe sheria ya kulipa mishahara kwa awamu moja ndani ya miezi mitatu mitatu, Kwa mfano unalipwa take home ya milioni 1. January ml 1...
Back
Top Bottom