mboga mboga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Natoa huduma ya Kilimo cha mboga mboga

    Uko Dar unataka kufanya kilimo cha mboga mboga na huna utaalam nione Kwa no 0625537380. Kilimo chako kiwe kilimo cha kisasa, kilimo biashara yani kilimo cha kupata fedha.
  2. Kazanazo

    Ushauri unahitajika kilimo cha mboga mboga maeneo ya mjini

    Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa. Pia ni...
  3. Mr Chromium

    Natatuaje tatizo la mboga mboga kwa kuku ikiwa mboga zinauzwa gharama?

    Nafuga kuku wa kienyeji Jkisema ulishe mboga za majani za sokoni Utajikuta unapata hasara kubwa sana kwanza -Wanakua taratibu sana ( hivo gharama kuwakuzA) -Soko la kusua sua -Bei zake si kubwa kama jinsi ya ulivyowakuza Je kuna mbadala wa mboga majani?
  4. osieee

    Kilimo cha mboga mboga uhai wa Wilaya ya Lushoto

    Wakuu habari za siku nyingi, Leo ninakuja na andiko kuhusu namna kilimo cha mbogamboga kinavyowanufaisha wakazi wa wilaya ya Lushoto na halmashauri zake. Wilaya ya Lushoto inapatikana katika safu za milima ya usambara ndani ya Mkoa wa Tanga, kwa asilimia kubwa wenyeji wa wilaya hii ni kabila...
  5. Sky Eclat

    Kupanda kwa bei ya mafuta kumevuruga biashara yetu ya mbogamboga

    Kijana wangu alitafuta ajira kwa miezi sita baada ya kumaliza chuo. Mwisho tuliamua kuingia katika kilimo cha mboga mboga. Shamba ni la urithi la ekari tatu, tulikodi trekta kung’oa visiki. Tulichimba kisima na kununua simtank la litre 3,000 pamoja na pump yake. Ilibidi kujenga kibanda na...
  6. Idugunde

    Pwani: Mtambo wa kuvuna maji lita milioni moja kwa Saa, wakamatwa katika chanzo cha maji cha mto Ruvu

    #HABARI BODI ya Maji Bonde la Wami/Ruvu imemkamata mkulima mkubwa raia wa China anayefanya kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Kidogozelo Kitongoji cha Migudeni wilayani Chalinze akivuta Maji katika Mto Ruvu kwa kutumia mashine yenye uwezo wa kuvuta maji Lita milioni moja kwa saa. =====...
  7. J

    Umuhimu wa mboga mboga & Matunda

    Kutokana na tafiti ambazo zimefanywa na watu mbalimbali wanasayansi mbalimbali duniani (ndani ya Africa na nje ya Africa) wamekuja kugundua kuna umuhimu mkubwa sana wa mboga mboga hasa mboga mboga asilia kama mchicha ,ngogwe ,mgagani. Kwanini zina umuhimu kwasababu zimebeba virutubisho muhimu...
  8. M

    Unahitaji mbogamboga?

    Habari waungwana Hongereni kwa pilika pilika za kutwa nzima za kupambania maisha, natafuta wateja wa kununua mboga mboga aina ya chainizi shamba lipo morogoro berega na linafikika kwa urahisi sana na hasa kwa wale wa kibaigwa, Dodoma Mjini, Morogoro Mjini na hata kwa Dar pia Shambani nina...
  9. mwagito25

    Fursa ya mboga mboga na matunda Dodoma

    Habarini wana jamvi. Kutokana na kukua kwa kasi ya kuridhisha kwa jiji la Dodoma, kuna mahitaji yanayoongezeka kutokana na umuhimu wake kwa maisha ya binadamu ya kila siku. Uhitaji wa mboga mboga na matunda unakua kwa kasi kubwa. Uhitaji huu ni wa wote, yaani wauzaji na wazalishaji. Kwa wale...
  10. REDEEMER.

    Kilimo cha mboga mboga Tanzania/ horticulture: Jinsi ya kuandaa shamba, palizi na kuvuna

    Ama kwa hakika hayawi hayawi sasa yamekua, asiye na mwana aelekee jiwe ndio funzo la wahenga kwa yeyote atae shupaza shingo lake basi mvunjiko ndio halali yake. Ni Tanzania ndio ni Tanzania tena kama sio Tanganyika mbabe na muasisi wa uchumi dynamic na usio na ulemavu katika sector moja...
Back
Top Bottom