matokeo kidato cha nne

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    KERO Serikali mliangalie hili, inakuwaje mtu anachaguliwa Kozi ambayo hajaomba?

    Kijana amemaliza form four na pass za Phy C, Biology B, Chem A, na Maths Chaguo la kwanza aliomba Pharmacy, Chaguo la pili aliomba vyuo vya ufundi. Sasa amepangiwa kwenda Advance PCM. Imekaaje hii wakuu ukizingatia hakupenda kwenda Advance kabisa. Pia soma: ~ TAMISEMI wafafanua kinachopelekea...
  2. Teko Modise

    Baraza la Mitihani (NECTA) latangaza matokeo ya Kidato cha nne. Ufaulu waongezeka

    Leo tarehe 25/01/2024 Baraza la Mitihani Tanzania, litatangaza matokeo ya mtihani Kidato cha nne iliyofanyika mwaka jana. Matokeo hayo yatatangazwa majira ya Saa 5:00 asubuhi kupitia youtube account ya Necta. Matokeo hayo utayapata hapa punde tu baada ya kutangazwa. ======= Katibu Mtendaji...
  3. Lady Whistledown

    Waliofutiwa Matokeo ya kidato cha 4, 2022 wapewa idhini ya Kurudia Mtihani

    WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imetoa idhini kwa wanafunzi 337 waliofutiwa matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka 2022 na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) kurudia mtihani huo. Wanafunzi hao walifutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo udanyanyifu na wakaomba kupewa nafasi ya...
  4. Barackachess

    Naombeni support yenu katika hili: Nimebuni shule ya kwanza ya mtandao, haitaji kufika shuleni tena, soma na fanya mitihani mtandaoni

    SHULE YA KIDIGITALI, SOMA MTANDAONI UKIWA NYUMBANI HUITAJI KUFIKA SHULE TENA Habari naileta kwako TAIFA ONLINE INTERNATIONAL SCHOOL Ni taasisi mpya nchini Tanzania inatoa elimu kwa njia mtandao pasipo kujali eneo ulilopo. Tutembelee www.taifaschool.net NB: NAPOKEA USHAURI WA AINA YOYOTE...
  5. B

    Ridhwaa Seminary Kinondoni yafanya vizuri kwenye matokeo kidato cha nne mwaka huu (Wapata div 1 &2 ) only

    Wamefanya vizuri sana kwenye matokeo ya kidato cha nne. Swali langu ni je wanawapokea watoto wa kikristo? Na kama Wana wapokea je Wana sharti la watoto lazima kuswali msikitini? Au kama ni Mkristo basi afuate tu sheria za shule na mavazi? Naomba kujuzwa tafadhali
  6. Last Seen

    Shule za Zanzibar zina changamoto gani?

    Habari wana Jukwaa! Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu. Zanzibar imekuwa sio kipenzi cha wanafunzi kutoka bara kwenda Tanzania visiwani kupata...
  7. L

    NECTA yatangaza Matokeo Kidato cha Nne 2022

    Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja...
Back
Top Bottom