mane

  1. V

    Walisema Sadio Mane amebaguliwa Bayern Munich ila leo Bayern Munich wamempa kazi kubwa ya ukocha Vicent Company

    I'm proudly black man Ila waafrica wengi tuna matatizo sana Sadio mane alienda Bayern Munich tena akawa miongoni mwa wachezaji watatu wanaokula mshahara mkubwa Bayern Lkn tunaofatilia mpira toka liverpool ni kwamba sadio mane alishajichokea mpira ulishaisha km mnavyojua waafrica kwa...
  2. 2 of Amerikaz most wanted

    Sadio Mane deserve direct red card

    Sadio Mane only received a Yellow card for this tackle on Ivory Coast and Nottingham forest midfielder Ibrahim Sangare.
  3. S

    Sadio Mane amruhusu mkewe kwenda kusoma chuo, siku chache tu baada ya ndoa. Tumwambie au tumwache?

    Anachokifanya Sadio Mane kwa mkewe kinaweza kumgharimu sana. Maana dunia hii ni tambara bovu, linaweza kuchanika mahala asipotarajia. Eti kamruhusu mkewe aende chuo akaendelee na masomo ili hali wamefunga ndoa hivi majuzi tu. Na mke hana mimba wala nini. . Vyuoni kuna wakware waliopinda...
  4. S

    Mastaa wa Bongo wanaisaidiaje jamii? Ubinadamu wa Mane na Ronaldo wanaoufanya sijawahi sikia huku kwa mastaa wetu

    Siwasemi Bongo movie najua ni unga unga unga mwana,nawaongelea hawa wasukuma ndinga ulaya. Siku ile imetokea majanga kule hanang dunia nzima ilifahamu kilichotokea lakini sikuona wachezaji hawa wakituma michango yao ya hali na Mali nikawaza sana mambo haya yangetokea nchini kwakwe mane dunia...
  5. Mjanja M1

    Wanaume tumuige Sadio Mane kwenye ndoa

    Habari zenu, Ukizungumzia Wachezaji wenye Hekima na Kujali watu basi huwezi kuacha kumtaja Msenegal Sadio Mane. Mane amekuwa ni msaada kwa jamii yake na ametufundisha kitu kwenye mahusiano pia, kitu alichotufundisha ni kwamba unapooa pambana upate Mwanamke ambae ni Mpya na asiekuwa na mapito...
  6. LIKUD

    Nawashangaa Watanzania wanaoshangaa kusikia Sadio Mane kamuoa girlfriend wake wa muda mrefu mwenye umri wa miaka 18

    Age of consent in Senegal is 16 years old. Kwa maana ya kwamba mtu mwenye umri wa miaka 16 nchini Senegal anaruhusiwa kuolewa au kuoa. Hiyo hoja kusema kwamba sijui alikuwa ana tembea na minor haina mashiko. Hata hapa Tanzania sheria yetu ya ndoa msichana anaruhusiwa kuolewa akiwa na umri...
  7. M

    Mchezaji mpira maarufu Senegal Sadio Mane afunga ndoa na mchumba wake, binti wa miaka 18

    Mchezaji mpira maarufu Sadio Mane juzi amefunga ndoa na mchumba wake, binti mdogo Mwenye umri wa miaka 18. Mwamba ameamua kuoa dogo dogo kuwahi bikira kabisa kabla wahuni hawajaitoa. Cha kushangaza wanasema ni long time girl friend wake. Nawaza tu mahusiano walianza binti akiwa na miaka mingapi?
  8. K

    Ronaldo hat trick tena, Sadio Mane apiga mbili!

    Cristiano Ronaldo alifunga hat-trick wakati timu yake ya Al-Nassr ikipata ushindi wao wa kwanza wa Saudi Pro League msimu huu kwa kuwafunga Al Fateh 5-0 Ijumaa hii usiku. Mbali na RonaLdo, mshambuliaji wa zamani wa Bayern Munich, Sadio Mane alianza kuifungia Al-Nassr dakika ya 28 na Ronaldo...
  9. JanguKamaJangu

    Bayern Munich yajipanga kuachana na Sadio Mane

    Kocha wa Bayern Munich, Thomas Tuchel amekiri kuwa usajili wa raia huyo wa Senegal haujawa na mafanikio kwa kuwa mchezaji ameshindwa kufikia malengo, hivyo anaweza kuuzwa kwa Paundi Milioni 17 ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu alipoajiliwa kutoka Liverpool kwa Pauni Milioni 35. Bayern ina mpango...
  10. D

    Sadio Mane atachezea klabu gani msimu ujao?

    Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani. So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea, Newcastle, PSG, Liverpool, Juventus, Tottenham, Inter, Aston Villa, Arsenal na Marseille. Unadhani...
  11. B

    Sadio Mane apewe maua yake

    Mchezaji maarufu wa mpira wa miguu duniani "Sadio Mane wa Senegal" (Afrika Magharibi), ambaye kipato chake ni dola 186K kwa wiki, alionekana katika maeneo mengi akiwa na simu zilizovunjika. Katika mahojiano alipoulizwa kuhusu hilo, alisema nitaitengeneza. Alipoulizwa kwa nini usinunue mpya...
  12. Nyuki Mdogo

    Huyu ndiye baba mzazi wa Leroy Sane (mchezaji wa FC bayern aliyegombana na Sadio Mane)

    This is Souleymane Sane, a former Senegalese international player, he represented Senegal in 1994 Afcon, he is the father of Leroy Sané who is representing Germany. He gave his son Leroy because of Claude Leroy was the coach who gave him chance to play for Senegal. Leroy sane... (akiwa na...
  13. JanguKamaJangu

    Bayern Munich yamsimamisha kazi kwa muda Sadio Mane kwa kumpiga Leroy Sane

    Uamuzi huo umetokana na tukio lililotokea vyumba vya kubadilisha nguo wakati timu hiyo ikifungwa 3-0 na Manchester City, ikidaiwa kutokana na wawili hao kupishana kauli ndipo Mane akampiga ngumi ya uso Leroy Sane. Mane hatakuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza dhidi ya Hoffenheim katika...
  14. Mohammed wa 5

    Sakho anajipendekeza kwa Sadio Mane

    Sakho uko kambini na timu ya taifa kila muda ni kumfuata Sadio Mane, nimeona video yake akicheza ili aonekane kwa Mane. Acheze mpira aache shobo, na nyie mashabiki wa Simba mnafurahia tu mchezaji wenu wanamfanya Kama dancer hivi kisa amepostiwa na Sadio Mane. Sakho ni chawa wa Sadio Mane
  15. JanguKamaJangu

    Angalia alichopost Sadio Mane kuhusu Sakho, awaambia "Simba angalieni mchezaji wenu"

    Sadio Manè just posted this video of Pape Sakho dancing in Senegal’s camp with the caption: “Simba SC look at your player become a dancer.”
  16. Nelson Jacob Kagame

    Maneno ya Rais wa Tunisia ni dharau kwa Waafrika

    Kwa wale wanaopenda kujinasibisha na watu wa Afrika ya Kasikazini na kuwaita Waafrika wenzao nadhani mmesikia alichosema Raisi wa Tunisia kuhusu Waafrika wabantu. Waafrika popote walipo ni wahanga wa ubaguzi iwe Afrika, Ulaya, Asia au Amerika. Yote kwa sababu tumeacha asili zetu, dini zetu...
  17. J

    Sadio Mane apata tuzo ya Socrates kutokana na mchango wake katika jamii

    Sadio Mane apata tuzo nyingine ya Socrates kutokana na mchango wake kwa jamii. --- Sadio Mane has received France Football's inaugural Socrates Award, in recognition of his charity work in his native Senegal. Mane, 30, is accustomed to writing headlines on the pitch, but it's his continued...
  18. Gordian Anduru

    Kwahiyo George Mpole ni zaidi ya Sadio Mane na Lukaku

    Ndiyo George Mpole kamaliza ligi na magoli 17 kwenye ligi yetu madafu wakati Sadio Mane kaishia goli 16 na lukaku hata magoli kumi hakufikisha EPL Imeibuka tabia isiyo ya kiungwana ya kulinganisha wachezaji waliotokea ligi za maana na takwimu za wachezaji wa ligi yetu ya madafu. Unakuta mtu...
  19. Mchunguzi Fukara

    Sandio Mane ni mchezaji wa kuigwa anatoa huduma zote mhimu kijijini kwao Mbambaly, analipa watu wake kila mwezi

    Sadio Mane ni mmoja ya wachezaji wachache wanaojali familia zao, Mane sio mzaliwa wa jiji kuu la Senegal Dakar wala Kaolack ambayo ni majiji makubwa katika taifa hilo bali Sadio Mane ni mzaliwa wa mbambaly anabadilisha kijiji chake kuwa mji. Mane katika kijiji chao ambapo inakadiriwa wanaishi...
Back
Top Bottom