bawasiri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kwa picha hii. Je, ni grade ya ngapi katika zile grade nne za bawasiri?

    Samahani wa ungwana ni mara ya tatu tena nakuja kwenu. Bado nauguza vidonda nilivyovipata huko nyuma kwa matibabu ya bawasiri yasio sahihi. Nataka nikipona vidonda niende hospital kwa matibabu zaidi lkn. Kilichonileta kwenu tena ni hii picha ambayo nimewaletea wale watalaamu wa kujua aina za...
  2. K

    Upasuaji wa bawasiri

    Wadau naomba msaada kwa mara nyingine tena kwa habari ya bawasiri Nimetumia dawa za kienyeji za kunywa na kupaka nimetumia za tiba mbadala lkn wapi ndipo nikaamua kwenda kwa mtaala mmoja nikaambiwa yeye huwa anakutibu mpk bawasiri ina isha kbs Na jamaa zangu wengi wameenda kwa huyo mtu...
  3. K

    Dawa kutibu bawasiri

    Naomba ushuhuda wa mtu aliyekuwa na bawasiri ya ndani akatumia dawa iwe ya hospitali au Tiba mbadala akapona atusaidie na sisi maana tumetumia hizo dawa za kienyeji mpk tumechoka Hela tu inaenda na km ni dawa ya dukani atutajie maana wanadai bawasiri pia inapunguza zile nguvu. Naomba kuwasilisha
  4. JASUSI LA MBINGUNI

    Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
  5. Rwaz

    Kupima tezidume, UTI sugu, bawasiri, figo, ini, kibofu, utumbo...dar

    Nawasalimu nyote kwa nguvu za huyo atiaye uhai. Kwa mtanzania wa kawaida asiye na bima ndan ya dar wapi pa uhakika kupima vipimo tajwa hapo juu kwa wakat mmoja? Bajet yake ni sh ngap? Mwenye mzaha katika afya aniache kwa leo. Natanguliza shukran
  6. T

    Nahitaji kufanya operation ya kuondoa bawasiri

    Wakuu nahitaji kufanya hiyo operation husika napata maumivu ya hatari. Ni hospital gani yenye watu makini katika Hilo suala?
  7. NetMaster

    Je, mboga za majani zinazolimwa Dar zina sumu inayochangia matatizo ya nguvu za kiume, cancer, bawasiri, vidonda vya tumbo, n.k?

    Unaweza ukawa unakula ugali na mboga za majani na ukajiona unakula chakula chenye afya kumbe uhalisia ni kwamba unajiongezea sumu zaidi mwilini. Sehemu kubwa ya mboga za Darisalama zinatoka mabonde ya Mto Msimbazi, Mandela road bonde lililoko kituo cha garage, Jangwani, Kigogo sambusa na maeneo...
  8. Yese Kajange

    SoC02 Ufahamu ugonjwa wa Bawasiri

    Bawasiri ni ugonjwa unaotokana na kuvimba kwa mishipa ya damu iliyopo ndani au katika eneo linalozunguka njia ya haja kubwa. Pia bawasiri unaweza kusababisha kujitokeza kwa kinyama kwenye njia ya haja kubwa au puru. AINA ZA BAWASIRI. Kuna aina mbili za bawasiri nazo ni 1. Bawasiri ya...
  9. JanguKamaJangu

    Simu inavyoweza kusababisha ukapata Ugonjwa wa Bawasiri (kuvimba njia ya haja kubwa)

    Baadhi ya watu watabia ya kuongea na simu na wapendwa wao kwa muda mrefu. Licha ya kupata maumivu ya masikio, kichwa na matatizo ya macho, wataalamu pia wamebainisha madhara makubwa yanayoweza kutokea kupitia simu yako ya mkononi. Shinikizo la damu Ripoti iliyotolewa na watafiti kutoka Nchini...
  10. Penny

    Ugonjwa wa Kuota Vinyama Sehemu za Siri (Bawasiri/ Hemorrhoids): Chanzo, Dalili, Tiba na Kinga

    Naomba msaada wa hivi vinyama vilivyoniota pembezoni mwa shimo la haja kubwa vinaitwa piles kwa kimombo, kiswahili sijui. Hivi vidude huwa vinauma na kuacha, naweza kukaa miezi 8 hadi mwaka sivisikii ila vikianza kuuma nashindwa kukaa au hata kutembea. Naomba msaada wa dakatari yoyote...
Back
Top Bottom