Search results

  1. GITWA

    Pamba jiji Mwanza (wana tupwisa lindanda mazembe kawekamo)

    Kwa wale wapenzi na mashabiki wa PAMBA timu ya Mwanza iliyopanda ligi. Timu iliyowahi kutupa furaha watu wa Mwanza na viunga vyake especially Kanda ya ziwa. Tukutane hapa kuwa tunapeana updates za chama letu la PAMBA.
  2. GITWA

    Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya Betting

    Amani ya Mungu iwe juu yenu Najua hapa kuna waelewa wa mambo mengi katika biashara hivyo naomba kujua mambo yanayotakiwa ili kuanzisha ofisi ya betting. Miongoni mwa mambo ninayotaka kujua ni; 1. Mtaji kiasi gani tunatakiwa 2. Nawezaje kupata mfumo wa betting 3. Leseni yake inapatikanaje 4...
  3. GITWA

    Ilibaki kidogo mvua ziniharibia mazao yangu

    Nililima maharage mwanzo mwishoni mwa mwezi wa tatu wilayani Hanang, baada ya hapo mvua zikaanza kunyesha mfululizo na ardhi niliyopanda ni mbuga nyeusi. Yaani maharage yalitaka kuniacha nayaona hivi ila nashukuru Mungu amemipa maarifa ya kuyapambania Maharage yenyewe ndio hayo.
  4. GITWA

    Nilivyoendesha gari na chupi tu

    Ni siku nyingi zimepita lakini hili jambo sijawahi kulieleza popote pale. Leo nalieleza na kutaka kujua kama kuna waliowahi kukutana na hii hali waje nao hapa watoe yaliyowasibu. Mwaka 2013 nilikuwa Kahama nikifanya kazi mgodi wa Buzwagi kipindi hicho. Siku moja natoka kazini niko na...
  5. GITWA

    Je, kunaweza kuwa na wasimamizi watatu wa mirathi?

    Poleni na majukumu wanasheria. Napenda kujua iwapo sheria inaruhusu wasimamizi zaidi ya mmoja wa mirathi yaani kama watatu hivi. Maana kuna familia ina watoto wa mama watatu tofauti na wako kwenye mchakato wa mirathi lakini suala la mtu mmoja kupewa usimamizi wa mirathi linawachanganya. Wao...
  6. GITWA

    Riwaya: Jina langu ni Pheady

    MTUNZI : SELOPHEADY H. MAGEMBE HAKI ZOTE ZIMEHIFADHIWA Huruhusiwi kunakili au kutumia sehemu ya hadithi hii bila ruhusa ya mwandishi. Nilikua nimehitimu masomo ya shule ya upili na kuchaguliwa kwenda kusomea ualimu katika chuo cha ualimu.Hii ilikuwa ni miaka ya 1990 hivi, ualimu ni kazi ambayo...
  7. GITWA

    Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

    Poleni na majukumu ya kila siku wakuu. Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro. Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
  8. GITWA

    Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel

    Heshima kwenu. Tatizo la gari yangu ni kuwa inachanganya oil na diesel. Yaani diesel inaingia kwenye oil. Gari ni aina ya FUSO. Naomba msaada wa maarifa
  9. GITWA

    Msaada wa link

    HESHIMA KWENU WANA JF. Naomba link ya vyuo vya archbishop mihayo tabora na tumaini makumira arusha yenye majina ya wadahiliwa wa 2015/2016.NATANGULIZA SHUKURANI.
  10. GITWA

    Noah inaitajika

    Rejea kichwa cha habari. Bajeti yake ni T sh. 6000000. Six million. Aliyenayo karibu tufanye biashara.
  11. GITWA

    Swali la ufahamu

    Nimeulizwa na mdogo wangu hivi " je udahili wa chuo kikuu unaweza unganisha vyeti vya form six kama wafanyavyo private candidates kwenye mtiani wa form six?" Nimekosa jibu nami nimeona nije kijiwe cha elimu kupata jibu. Mwenye ufahamu naomba anijuze.
  12. GITWA

    Kiwanja kinauzwa Morogoro

    Kipo Lukobe Block 10, kimepimwa na kina ofa. Kimejengwa chumba kimoja cha self ambacho hakijamaliziwa ila tayari kimeezekwa. Area 800m (20.51/39.02) bei Tsh. 12m. Kinaangalia barabara ya daladala ziendazo Lukobe. Block kiliyopo inapakana na Block ya nyumba za NSSF Lukobe. Karibu sana, kama...
  13. GITWA

    Nyumba inauzwa barabara kuu kutoka Arusha - Singida

    Kichwa cha habari kinausika. Ipo Endasak wilaya ya hanang', inatazama barabara kuu ya kutoka Arusha kwenda singida. Eneo lake ni hatua 22 kwa 70. Ina milango 2 ya biashara na vyumba 3 vya kulala na msingi wa vyumba kumi tayari. Bado kuna eneo kubwa la kujenga chochote kwa nyuma. Kama vile...
  14. GITWA

    Natamani kuchunwa.

    Kichwa cha habari kinajieleza. Nina Pesa za kutosha nina pesa za ila mtu wa kutumia nae mpaka nihisi nachunwa haonekani.
  15. GITWA

    Msaada wa mawazo wasomi

    Ndugu yangu ana umri wa miaka 40, ameniomba ushauri wa kusoma, anataka kufanya mtihani wa six kama PC ili aende chuo kikuu. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na credit zake za O level ni hkl. Swali linalomsumbua ni kuwa je hiyo elimu anayotaka kuiendea itamsaidia? Au ang'ang,ane na biashara zake tu...
  16. GITWA

    PPF ni majanga.

    Wakuu nimekutana na mambo yasiopendeza ppf. Mimi ni mwanachama wao niliemaliza mkataba na mwajiri wangu toka mwaka Jana mwezi 9. Nililipwa malipo yangu ya ppf mwezi wa kwanza mwaka huu lakini yakiwa na mapungufu ya mwezi mmoja ambao ni wa 10 ambao mwajiri alikua amenilipa ikiwemo bonus na...
  17. GITWA

    msaada wa vitabu.

    Mdogo wangu anaitaji kufanya mtihani wa form 6 mwaka kesho kwa HKL kama PC . Naomba mnijuze Vitabu vinavyofaa kumnunulia vinavyoendana na mtaala wa sasa kwa hayo masomo.
  18. GITWA

    Naitaji chumba cha kupanga Morogoro.

    Kwa wale wenyeji Moro au madalali Wa vyumba naomba kupata CHUMBA hasa mitaa ya kihonda. Mwenye uwezo ani pm tuongee dili.
  19. GITWA

    Naitaji gari aina ya carina Ti au Si isiyozidi m.5

    wakuu mwenye gari ya sifa hizo na anaitaji kuuza ani pm
  20. GITWA

    Nisaidieni kuanza biashara ya m.5 Morogoro

    Wakuu naomba ushauri naitaji kuanza biashara ya aina yoyote inayoweza kunitoa kwa mtaji wa sh.milioni tano makazi yakiwa Morogoro.Nasubiri mawazo yenu niweze kuyafanyia kazi,nitafurahi yakiwa na uchambuzi wa kina.
Back
Top Bottom