Search results

  1. old mkiva

    Video: Tuwe makini na Wanawake wanaocheza Judo

    Kabla ya kuoa jua kwanza hstoria yake
  2. old mkiva

    Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Yesi hilo ndo la msingi.ila kutaman nikawaida na ndio maumbile yetu.kufanya nijambo lingine la maamuz yako
  3. old mkiva

    Natafuta Mke

    Sijapata bado
  4. old mkiva

    Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Sio wote kweli lakin hao wazur hawazid asilimia tano
  5. old mkiva

    Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Kujizuia haina maana umeridhika na hali ya kua na moja ila huna namna.maumbile ya kiumbe cha kiume nikumiliki mke zaidi ya moja
  6. old mkiva

    Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

    Ukweli nikua mwanaume anayeridhika na mke moja hawahi kuumbwa.ukiona katulia ujue ima hana kitu au iman imemjaa.lakin pamoja na hayo kutaman ni lazma ataman wa nje.tofaut nikua unaweza kutaman lakin ukajizuia kufanya au kumtongoza
  7. old mkiva

    Kuna wadada wema tu ila wanauza Baa, shida hizi

    Hujamgegeda kweli?najiulizatu mpaka munaenda hom lengo lilikua nin
  8. old mkiva

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    Nani aliyekudanganya kua nduli idd amin alikua gaid?tunadanganywa na historia amin alikua mtu poa sana Kud
  9. old mkiva

    Private school ni kwaajili ya watoto wa mama laini laini, mayai mayai

    Huo ndo ukweli hata wale wanaojifanya wanazo hela watoto wao hakuna wanachogusa kila kazi anaachiwa dada wa kazi unakuta mpaka nguo zao wanafuliwa na dada.wazazi wanahisi ndo malezi bora lakin wanatengeneza bom la kesho bila wao kujua.
  10. old mkiva

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Sheria ya ndoa tanzania inasema ukikaa na mwanamke miez mitatu ni mke wako hatakama hamujafunga ndoa.unawezaje kusema hukupanga kuish nae na kila siku ulikua unaacha kod ya meza anakupikia anakufulia anakupa uroda ulikua unamlipa nin?
  11. old mkiva

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Kwanza mkuu unaroho ngumu kinyama.yanj dem umekutana nae umepiga saund siku yatatu anakuja kwako kwa mara ya kwanza wala hujui ametoka wapi wala anaish wapi unapiga mzigo asubh unamkabidh funguo unaenda kazin kiroho safi wala huna presha.pambana huyo iko siku atakuosha hutakaa uamin
  12. old mkiva

    Israel wanaishi kwa mashaka kuogopa kwa kipigo toka Iran

    Nataman izrail apatiwe dawa
  13. old mkiva

    Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

    Haushambuliwi.tatizo letu sis watanzania tunakariri.kenya vinywaji vikali ni haram kwasababu wanajua nguvu kaz inaisha vijana wanakua mataahira.binafs nimewaona wala mirung weng nimeish kenya sijawah kuona mtu anayekula mirung kua taahira kama mnywa gingo na vidaimond.lakin kwakua hawa wa pombe...
  14. old mkiva

    Uuzaji wa Mirungi Usangi (Wilaya ya Mwanga) Umehalalishwa?

    Unapotoa taarifa za uhalifu nibora pia ukazingatia haki za mtuhumiwa.mim siamin kua mirungi inachangia ubakaji.labda uweke taarifa vizur amechangia ubakaji vipi?kuna matukio mangapi ya ubakaji huko?lakin pia labda nikueke sawa kua nch hii hakuna mkoa usiouzwa mirungi hata moja.ukumbuke kenyq...
  15. old mkiva

    Natafuta mke wa kuoa

    [/USER]
  16. old mkiva

    Natafuta mke wa kuoa

    Niwazo zur pia asante
Back
Top Bottom