GOLD BOY
JF-Expert Member
- Jun 9, 2023
- 375
- 432
Shule private zinamfanya mtoto kuwa zombie mlegevu mlegevu hata kazi za nyumbani hawezi kufanya kutwa kulala tu.
Kwenye mitihani makaratasi et mara 100 ya masomo ya ajabuajabu tu afu kichwani sifuri kabisa. Nimeona wengi ambao tumesoma nao advance ni hakuna kitu aliefaulu sana akipata div 3 ya 16, kwaio unapompeleka mwana shule private jua kbs ni mumbumbu huyo.