Search results

  1. Enter Passcode

    Muongozo wa bajeti kwa mtu anelipwa 150k kwa mwezi

    Wakuu hili liko wazi, Mabwanyenye wengi ndicho kiwango wanacholipa baada ya kuwahenyea . Hivi kwa hiki kiwango unatoboa vp, japo inawezekana ukipata ufahamu! Njooni, wataalamu wa bajeti
  2. Enter Passcode

    ‘Sim card’ hazisomi kwenye simu mpya

    Salaam, Nimenunua simu kwa njia ya mtandao (huawei p8 lite) Imenifikia tyr lakini laini hazisomi, wataalamu shida ni nn Labda sikua makini kwenye kuangalia (mtandao ni KIKUU)
  3. Enter Passcode

    Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  4. Enter Passcode

    Tupo kujifunza kwenu

    Walaamu, Wakuu, tunazidiana kwa kila namna Tupia wazo lolote ambalo laiti mtu akiligundua kuanzia kiuchumi,kimwili kiroho.....n.k ataacha kulalamika kwa namna yoyote Toeni ya moyoni, japo msitegemee kueleweka kwa wote Nawasilisha!
  5. Enter Passcode

    Nini sababu/chanzo/lengo la kutumia ID/ avatar unayotumia hapa jukwaani?

    Itifaki imezingatiwa, Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes, Baada ya kukuta na camera ya simu inamuhitaji code, alishindwa kujifotoa na kunipa jina zuri kama hili...
  6. Enter Passcode

    Maisha yamekuwa mwiba mtaani

    Wasalaam Wakuu, kila mmoja hapa anashuhudia mtaani kulivyo kugumu , hasa kwa wasaka tonge kama mm Sasabasi, ajitokeze mwana mwenye dili ngumu ili tushiriki wote hiyo ‘National cake ‘. Niko tayari Wasiotakiwa hapa ni wafuatao; Wale wa fanya kazi halali Mlioko kwenye system , hamtakiwi kabisa...
  7. Enter Passcode

    Neville Goddard, Joe Dispenza, Mahatma Ghand Sadhguru etc Wanawezaje?

    Salaam, Wakuu, husika hapo juu, kuna wakati huwa najiuliza sana juu ya uwezo wao lakini sipati jibu. Je, kuna elimu wanayo labda mimi naikosa? Wakuu mnaoelewa chochote kuhusu hii elimu, naomba ujuzi. Asanteni sana
  8. Enter Passcode

    Mboga ipi ni ya kupika kwa haraka

    Habari wakuu, Husika hapo juu, ni mboga ipi naweza kupika kwa haraka ili niepuke kwenye migahawa Maana nikirud home nakua nimechoka sana Asanteni
  9. Enter Passcode

    Nakumbushia wakuu aliye na connection ya kazi ya ulinzi (kampuni/private personel) anisaidie

    Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol stations Elimu: Kidato cha 6, chuo but #dropuot, pia ninacho cheti cha clearing &forwarding kutoka...
  10. Enter Passcode

    Natafuta kazi ya ulinzi

    Habar wakuu! Natafuta kazi ya ulinzi umri; 28yrs old Elimu; kidato cha 6, chuo but #dropout kwa sababu za kifedha lakn sio ishu Mafunzo; JKT, Op; makao makuu Dodoma Uzoefu; 3yrs of experience Napatikana; Kimara-DSM uwezo wa kutumia silaha; rungu,Smg,pump action s/machine gun #niko...
Back
Top Bottom