Search results

  1. P

    Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

    Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au...
  2. P

    KERO Idara ya Maji nani anawepa maagizo kutoa huduma ya maji usiku wa manane?

    Kumekua na tabia ya idara za maji Tanzania, hasa MWANZA kutoa huduma ya maji saa nane au saa tisa za usiku. Wananchi hawana maji siku 4 hadi siku 9, na siku mkiamua kuwapa maji basi ni usiku wa manane na presha ni ndogo sana wakati mwingine saa 11 au 12 alfajiri mnakata maji. Wengine wakiamka...
  3. P

    Kuna tatizo la internet Afrika lililopelekea kupungua kwa kasi ya internet kwa baadhi ya nchi

    A dozen countries across Africa suffered a major internet outage on Thursday as multiple undersea telecommunication cables reported failures, network operators and internet watch groups said. The MTN Group, one of Africa’s largest network providers, said the ongoing disruptions were a result of...
  4. P

    Uko tayari mtoto wako aoe au kuolewa na mtu mweye tabia kama zako?

    Kila mtu anajujua tabia zake, kama wewe ni mwanamke je uko tayari mtoto wako wa kiume aowe mwanamke mwenye tabia zako? Na wewe mwanaume uko tayari mtoto wako wa kike aolewe na mwanaume mwenye tabia kama zako?
  5. P

    Mstari katikati ya barabara ni muhimu sana

    Barabara nyingi za lami za mjini wanasahau kuchora ule mstari wa katikati, ni hatari sana hasa kwa miji yenye population kubwa ya magari. Mamlaka ikumbuke jambo hili ni muhimu sana kwa watumiaji wa barabara
Back
Top Bottom