Polisi Tabora mazoezi ya kufyatua risasi katikati ya mji si salama kwa Wananchi

Prince05

Member
Feb 27, 2024
8
14
Milio mizito ya risasi inayo shtua inasikika hadi maeneo ya hospital ya mkoa. Kila mara imekua ni kawaida kabisa kwa jeshi la police kufanya mazoezi ya kufyatua risasi karibu kabisa na makazi ya wanachi hali inayopelekea kushtua sana watu. Na pengine ineweza leta athari hata kwa wagongwa au kusababisha mshtuko wa moyo na kusababisha magonjwa.
 
Wangekua wanatoa tangazo kama baka baka kwa walio karibu na eneo la range
 
Back
Top Bottom