Search results

  1. The thinker27

    ๐— ๐—˜๐—ง๐—” ๐—ธ๐˜‚๐—ณ๐˜‚๐—ป๐—ด๐—ถ๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ถ๐—ฎ๐—ท๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—บ๐˜‚๐—ฑ๐—ฎ ๐—ต๐˜‚๐˜‚ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐˜‚! Natumai asilimia kubwa mtakuwa mmeshuhudia wimbi kubwa la watu wanaolalamika kufungiwa namba zao za Whatsapp kutokana na kutotumia Official Whatsapp App Watumiaji wengi wa Whatsapp mbalimbali zisizo rasmi kama vile GBWhatsapp , YoWhatsapp, FMWhatsap n. k wamekuwa...
  2. The thinker27

    USHAURI: Kuhusu kukata rufaa HESLB

    Habari za wakati huu wadau wa elimu Kama picha inavojieleza hicho ndicho kiasi ambacho nimepangiwa na HESLB kwa mwaka wa masomo 2023/2024.... Nahitaji ushauri, maoni, faida na hasara za kukata rufaa pamoja na utaratibu wake unavyokuwa Sababu kuu ya kuomba kukata rufaa ni kutokana na mfumo wa...
  3. The thinker27

    UDOM waweka kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha la 4

    UDOM nimeona wameijumuisha kozi ya Bachelor of pharmacy katika dirisha hili la nne la udahili ..hivyo basi hh ni ni fursa adhimu kwa ndugu zetu ambao bado hawajapata chuo na pia wenye ndoto za kusomea ufamasia kuweza kujaribu nafasi .mungu awatangulie .Naomba kuwasilisha
  4. The thinker27

    Olivier Giroud sio kufunga tu mpaka kwenye kudaja yumo

    Naam unachokiona hapo kwenye picha sio ndoto wala editing, ni hali halisi iliyotokea katika mechi ya leo ya ac milan ambapo katika dakika za salama kipa namba moja wa ac milan alilimwa kadi nyekundu akaingia kipa namba mbili naye pia akalimwa kadi nyekundu na ndipo ikambidi giroud achukte...
  5. The thinker27

    Young Africans (Yanga) amkeni logo imekaa kizamani sana ibadilishwe

    Hii logo kusema na ukweli imekaa kizamani sana.kuna muda nikiangalia huwa najiuliza hivi yanga inamiliki mabondia wa ngumi na vilabu vya netball? Jibu ni hapana yanga inamiliki timu ya mpira ya wanaume na wanawake tu sasa hao wengine wanafanya nini hapo..pia huo mkanda hapo chini kama vile...
  6. The thinker27

    Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST. Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
  7. The thinker27

    Ipi bora kati ya Bsc in Environmental Health Science na Bsc in Environmental Science and Management

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada wa maelezo wa uwanda wa ajira kati ya kozi Bsc in Environmental health science na Bsc in Environmental Science and managememt. Je ipi ni bora?
Back
Top Bottom