Kama mada tajwa hapo juu ilivyo
Kama kuna muuzaji wa pikipiki hizi za kichina anitajie orodha ya aina ya pikipiki alizonazo awake na bei nikielewa nitamfuata mwenyewe pm
Mungu ibariki nchi hii na watu wake, Mungu mbariki mmiliki wa mtandao huu na timu nzima ya kazi inayofanywa hapa ili sisi tupate sehemu ya kutolea dukuduku zetu.
Ndugu zangu Kwa heshima na taadhima nipo mbele yenu nami kule kero yangu hapa kwa viongozi na wataalamu wetu tuliowapa nafasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.