Search results

  1. N

    Car4Sale Toyota Hilux 2018, Tsh. 55M

    Hii ni mpaka Dar Port. Ushuru unalipia wewe.
  2. N

    Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  3. N

    I would like to contact January Makamba

    Hello wadau, I am currently residing abroad and find myself in need of assistance regarding an issue that falls under the the Minister of Foreign Affairs, January Makamba. Therefore, I am kindly requesting any information or contacts that could lead me to reach out to him. Your help would be...
  4. N

    Yanayonikuta London (UK)

    Mimi nimeishi London - UK kwa muda mrefu sasa hivi. Kufanya stori ndefu kuwa fupi, ninaishi kwenye share accommodation na watu kutoka West Africa na mmoja kutoka Asia. Miaka ya karibuni nimekuwa bullied. Hii nilianza ku experience kutoka kwenye organisation mojo kubwa hapa UK. Nikaamua kuacha...
  5. N

    Magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania

    TBS wamesema magari yote yaliyotumika kutoka nchi za Falme Za Kiarabu na Uingereza kukaguliwa katika hizo nchi husika kabla ya kusafirishwa Tanzania. Hivyo TBS wamewapa tenda Quality’s Inspection Service Japan(QISJ) kukagua magari yanayotoka Muungano Wa Falme Za Kiarabu(UAE) na EAA Company...
  6. N

    Scania, Heavy equipment na Landrover kutoka UK

    Nina anzisha huu maalumu kwa mtu yoyote anayetafuta vitu kutoka UK. Hasa magari makubwa(HGVs), heavy equipment, agricultural equipment na magari madogo kama Range Rover, for a reasonable price but good condition. Nina heshimu siri za mteja(customer confidentiality) Contact: WhatsApp +44...
Back
Top Bottom