Search results

  1. Ricky Blair

    Kwanini Tanzania haina Ubalozi katika nchi hizi?

    Hivi inakuwaje Tanzania tunapitwa na nchi hata Kenya na zingine kibao ndogo na maskini zaidi yetu kuwa na ubalozi wa nchi nyingi ila sisi mpk leo ubalozi wa Portugal hamna, nchi ya maana kama Australia hamna, Ukraine hamna, Argentina hamna, Israel hamna. Tuanze kuingia gharama kwenda nchi za...
  2. Ricky Blair

    Mapigano hatari kwenye Series zote

    Bado sijawahi kuona mapigano hatari kw series zote zaidi ya hawa wawili.
  3. Ricky Blair

    Makampuni na Serikali muajiri watu kutokana na uwezo wao na sio jinsia

    Ifike mahala watu na makampuni na serikali muajiri watu kutokana na uwezo sio jinsia tu ya kuweka wanawake sekta fulani 50/50. Sidhan kama kuna ubaya wowote watu wa aina yoyote kufanya kazi sehemu fulani; ila iendane na sifa. Kama umesoma udaktari na ukapata asilimia 60% wanawake poa, unesi...
  4. Ricky Blair

    Organic Black Kidney Beans au maharage meusi?

    Kuna project nafuatilia nilikuwa nataka kujua watu wa Arusha km mngenisaidia retailer ambaye anahusika na izi Organic Black Kidney beans kwa wingi sana nijue.
  5. Ricky Blair

    I need Macbook air 2020 13 inch covers

    Mambo wanajamii; nahitaji Macbook air 2020 13 inch covers zenye rangi rangi au picha kama hii sio zile plain za rangi moja kama Red cjui Blue au white nataka picha picha kama hizi pamoja na keyboard zake. Ambaye anauza aweke hapa na bei zake pamoja na acc zake za Insta au namba zake za...
  6. Ricky Blair

    Huyu mbwa vipi? Anaumwa au amezeeka?

    Uyu mbwa vp? Ni kwa anaumwa au ndo kazeeka? Coz namuonea huruma sana na km ana vidonda mwili mzima. N atamani hata ningemchoma sindano ya euthanasia tu apumzike coz anaona anateseka sana hata kutembea kwa shida sasa na iyo ngozi ndo kabisa.
  7. Ricky Blair

    Kutengeneza TV

    Jamani out of nowhere tu TV yangu aina ya Skyworth imezingua na kuzima na ukiwasha inaanza kisha kuzima tena; Fundi kaja ananiambia iyo internal system yote inabidi ibadilishwe 180k; yaani mafundi wa Bongo hamna ubunifu mpk mbadili kila kitu??? Na bei yote hii? Km kuna mtu umu anayejua hili...
  8. Ricky Blair

    Maajabu ya Dunia

    Nachojiuliza ni kwanini Uganda, Mozambique na Gabon zipo kw hii organization ya Waislamu wakati idadi yao ya waislam ni chini ya asilimia 20% na Central African republic pia observer ila pop yao chini ya 20% kama Urusi.
  9. Ricky Blair

    Hawa sio Waafrika

    Hawa sio watu weusi kutoka Afrika bali ni Aeto kutoka Philippines na kijenetiki wanafanana sana na makundi mengine ya Asia na kwenye kundi la Austronesian na wanafanana kwa mbali na mchanganyiko wa jenetiki za Madagascar
  10. Ricky Blair

    Hivi Posta wanajenga nini?

    Ivi Posta wanajenga nini hapa kati kati au ndo mwendo kasi njia nyingine?
  11. Ricky Blair

    Wataalam wa Location

    Wapi hapa?
  12. Ricky Blair

    Je tunaamini izi idadi?

    Je tunaamini kwamba Tanzania yote kuna Wahindi Elfu 60 na Waarabu elfu 70 tu???😂😂😂😂
  13. Ricky Blair

    Tafakari ya German East Africa

    Hebu tafakari kama German East Africa ingepata uhuru pamoja bila Rwanda Na Burundi kumegwa na Belgium baada ya ujerumani kushindwa vita vya kwanza vya Dunia; Ingewezekana kama tungepata uhuru kutoka kwa Ujerumani au hata kama kwa Uingereza ingewezekana tusingeungana na Zanzibar na muhimu zaidi...
  14. Ricky Blair

    Persona za Wasanii wa Bongo

    Nimeona hii kitu Wasanii wa Bongo hata wa nje lakini ngoja nizungumzie wa Bongo; wanapenda kuiga kila vazi au persona fulani hata kama si wao bali wavume; Regardless of his personal life Diamond ni muimbaji mzuri kama wengi tu lakini me nashangaa hii persona yake mpya ya kuvaa micheni sijui...
  15. Ricky Blair

    Voda Songesha kwanini mnakata riba kwenye mkopo?

    Hivi Voda kwanini msiwe kama Airtel Timiza tu? Hayo mambo mtu kafulia anakopa mnataka kukata riba kabisa ndio uduanzi gani?😫😫😫😫 Mnajua kufulia nyie hata mia mtu hana halafu sijui akatwe riba? Upuuzi mtupu!
  16. Ricky Blair

    Mitandao ya simu kutupa ofa za kutumika usiku tu, sio sawa

    Dear Airtel au hata mitandao mingine; kama mnatupa ofa sijui bonus ya bundle tupe tutumie muda wote ikiwezekana unlimited time mpaka iishe ila uhuni wa kutupa tutumie saa sita usiku hadi kumi na mbili ni ujinga; bakini na ofa zenu.
  17. Ricky Blair

    Wapi naweza kupata nguo za Cowboy

    Jamani natamani sana hizi nguo za cowboy; Hapa Dar au Tanzania naweza kuzipata wapi full complete na kwa bei rafiki?
  18. Ricky Blair

    Uber inazidi kuwa ovyo

    Uber inazidi kuwa ovyo tu bora wafunge; kwanza kuita inaweza kusearch masaa na hao dereva wake nao kama kuna ofa ndo utalalamikiwa hadi kesho kutwa. No bora tu kila mtu aweke price yake mkubaliane km Indrive. Ila kuita tu pia shida, na dereva pia shida
  19. Ricky Blair

    Tuibinafsishe TZ yote

    Ningekuwa na uwezo ningebinafsisha mikoa yote kw serikali zingine zilizoendelea na zinazoendeshwa na watu wenye akili. Ningeanza na lease ya miaka 5 to be evaluated kila miaka 5 mingine; wabebe resources zote na watengeneze faida; in return wajenge miundombinu ya kisasa tu, barabara, highway...
  20. Ricky Blair

    Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati

    Usioe au kuolewa na mtu uliyempenda kwa dhati( whatever that means because watu wanapenda tu wakiona watapata nn sana sana wanawake) oa au olewa na rafiki kipenzi na mtu mnayeendana kitabia, maadili na pesa. Mtu ambaye mw akili na km mtazaa una uhakika watoto watakuwa na Genes nzuri na mtu...
Back
Top Bottom