Search results

  1. Mdude_Nyagali

    Tunaishukuru Bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuchukua hatua

    Thank you very much World Bank for listening to us and taking action to block the 138 billion loan to Tanzania. We need loans to improve development through democracy but not loans that are used to hurt the people. God bless Tanzania. Tunaishukuru bank ya dunia kwa kutusikiliza na kuzuia mkopo...
  2. Mdude_Nyagali

    Mkosoaji wa Serikali โ€˜aliyetekwaโ€™ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

    Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu. Asanteni wote mliopaza sauti.
  3. Mdude_Nyagali

    Mbeya: Mkosoaji wa serikali ya Samia katika mtandao wa Tiktok akamatwa na wanadaiwa kuwa polisi

    Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka polisi Mbeya. Mwamlima amekuwa akiwakosoa wabunge na madiwani wa mkoa wa Mbeya akiwemo Tulia, Mulugo na...
  4. Mdude_Nyagali

    Kwa sheria hii ya Uchaguzi na tume hii ni wazi kwamba uchaguzi itakumbwa na machafuko

    ๐—ž๐˜„๐—ฎ ๐˜€๐—ต๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ฎ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—บ๐—ฒ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—จ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜‡๐—ถ ๐—ธ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‚๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ด๐˜‚๐˜‡๐—ถ ๐—บ๐—ธ๐˜‚๐˜‚ ๐Ÿฎ๐Ÿฌ๐Ÿฎ๐Ÿฑ ๐˜‚๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐—ธ๐—ผ. Nimemaliza kusoma sheria namba 02 ya mwaka 2024 inayoanzisha muundo wa Tume ya Uchaguzi; na nimemaliza kusoma sheria ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani namba 01 ya mwaka 2024...
  5. Mdude_Nyagali

    Uchunguzi wangu wa awali kuhusu mgodi wa siri uliopo ndani ya pori la hifadhi Singida-Tabora

    Watanzania wenzangu mtakumbuka kwamba 4 March 2024 niliripoti kuhusu uwepo wa mgodi wa siri huko Singida - Tabora baada ya kupewa taarifa na mmoja wa wachimbaji wadogo. Timu yangu ilifanikiwa kufika eneo hilo kwa lengo la kujiridhisha. Baada ya kufika eneo la tukio ikawa ngumu timu yetu kuingia...
  6. Mdude_Nyagali

    Pesa zilizotolewa na mfalme wa Morocco ujenzi wa uwanja wa mpira Dodoma ziko wapi?

    Tunakumbuka miaka mitano iliyopita mfalme wa Morocco alitoa pesa ylza kujenga msikitini na pia uwanja wa mpira pale Dodoma. Zikaandaliwa ramani za uwanja huo na Rais Magufuli akapelekewa ramani. Serikali ikatuambia uwanja huo utakuwa mkubwa kuliko ule wa Mkapa pale Dar kwani utabeba watu elfu...
  7. Mdude_Nyagali

    Uchaguzi Senegal unatufundisha muunganiko wa Mahakama na nguvu ya umma

    Haikuwa rahisi kwa mgombea wa upinzani Bw. Bassirou Diomayo Faye kushinda Urais nchini Senegal. Nasema haikuwa rahisi kutokana na hali ya kisiasa iliyokuwepo nchini humo hasa Rais anayemaliza muda wake Bw. Macky Sally alipotaka kubadili Katiba ili aendelee kuongoza muhura wa tatu. Mwaka 2021...
  8. Mdude_Nyagali

    Niliandika Mwaka 2022 kuhusu vigogo Kutumia Bendera ya CCM Kusafirisha Wahamiaji

    16 Novemba 2022 niliandika katika mtandao wa Twitter au X kama unavyoitwa kwa sasa kwamba vigogo wengi ndani ya CCM wanatumia bendera za CCM hasa wakati wa chaguzi kusafirisha wahamiaji haramu. Miezi 16 baadaye yani March 24, 2024 linakamatwa gari lenye bendera ya CCM likisafirisha wahamiaji...
  9. Mdude_Nyagali

    Katibu Tawala aliyeiba mafuta anabebwa na familia ya Kikwete

    Taarifa za awali nilizozipata ni kwamba katibu tawala DAS wa Mbongwe ambaye jana niliweka sauti yake hapa akiiba mafuta ya serikali hawezi kuchukuliwa hatua kwa sababu yuko karibu na familia ya Kikwete. Inadaiwa baada ya DAS huyo aitwayo Jacob Rombo alipomaliza masomo yale familia hiyo...
  10. Mdude_Nyagali

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Sikuandika kichwa cha habari hivyo. Nawasiliana na Jamii forums waniambie imekuwaje kichwa cha habari kiwe hivyo wakati mimi niliweka ๐—ก๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐——๐—”๐—ฆ ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฑ๐—ด. ๐—๐—ฎ๐—ฐ๐—ผ๐—ฏ ๐—ฅ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ.
  11. Mdude_Nyagali

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Sikuandika kichwa cha habari hivyo. Nawasiliana na Jamii forums waniambie imekuwaje kichwa cha habari kiwe hivyo wakati mimi niliweka ๐—ก๐—ถ๐—บ๐—ฒ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ ๐˜€๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐˜๐—ฎ๐˜„๐—ฎ๐—น๐—ฎ ๐——๐—”๐—ฆ ๐˜„๐—ถ๐—น๐—ฎ๐˜†๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐— ๐—ฏ๐—ผ๐—ป๐—ด๐˜„๐—ฒ ๐—ป๐—ฑ๐—ด. ๐—๐—ฎ๐—ฐ๐—ผ๐—ฏ ๐—ฅ๐—ผ๐—บ๐—ฏ๐—ผ ๐—ฎ๐—ธ๐—ถ๐—ถ๐—ฏ๐—ฎ ๐—บ๐—ฎ๐—ณ๐˜‚๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐˜€๐—ฒ๐—ฟ๐—ถ๐—ธ๐—ฎ๐—น๐—ถ.
  12. Mdude_Nyagali

    Nimenasa sauti ya Katibu Tawala (DAS) Wilaya ya Mbogwe, Ndg. Jacob Rombo akiiba mafuta ya Serikali

    Ndugu watanzania wenzangu wavuja jasho wa nchi hii, hiyo sauti mnayoisikia ni ya katibu tawala DAS wilaya ya Mbongwe mkoani Geita akiiba mafuta ya serikali kwenye moja ya vituo vya mafuta vilivyopo wilayani hapo. Tukio hili limetokea January 2024 katika kituo cha mafuta kiitwacho Minzingo...
  13. Mdude_Nyagali

    RPC wa Arusha anatuhumiwa kuficha tukio la askari polisi kumuua dereva wa magari ya watalii Omari Msamo

    Je ni sahihi wananchi kujichukulia sheria mkononi wakamuua RPC wa Arusha? Kama sio sahihi basi tunataka kuona askari wa usalama barabarani Arusha waliojichukulia sheria mkononi kwa kumuua Omari Msamo wanafikishwa mahakamani. Huu ujinga wa polisi kujiona wako juu ya sheria na wanaweza kufanya...
  14. Mdude_Nyagali

    Habari za Kifo cha Magufuli zilivyonifikia nikiwa Gerezani

    Ilikuwa saa 5 usiku Machi 17, 2021. Nilikuwa ndani ya gereza la Ruanda mkoani Mbeya, selo namba 16. Kelele za selo nyingine zilinishitua. Ikizingatiwa kuwa kelele haziruhusiwi nyakati za usiku mpaka pale kunapotokea tatizo, kwani kelele hutumika kama dalili ya kuwepo tatizo kwenye selo husika...
  15. Mdude_Nyagali

    Mikopo ya Hayati Magufuli tumeuiona je mikopo ya Rais Samia iko wapi

    [emoji841]Magufuli kwa miaka 5 aliyokaa madarakani alikopa trillion 37 akajengea SGR, bwawa la Nyerere, akanunua ndege, Kijazi interchange ubungo na 6 way mpaka Mbezi mwisho. Magufuli hata kama aliiba lakini angarau alionyesha matokeo ijapo aliwadanganya wananchi kuwa matokeo hayo ni pesa zetu...
  16. Mdude_Nyagali

    Serikali tunataka majibu juu ya uwepo wa mgodi wa siri katikati ya msitu huko Kitunda

    Kuna taarifa za uwepo wa mgodi mkubwa wa madini katikati ya msitu huko Kitunda Tabora mpakani na Singida. Inadaiwa mgodi huo upo kwa siri na haujulikani katika mfumo wa serikali isipokuwa viongozi wachache ambao ndio waliohusika kuuza eneo hilo kwa maslahi binafsi. Kutokana na usiri huo hakuna...
  17. Mdude_Nyagali

    Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT

    Dereva aitwaye Martin Chacha mkazi wa Tegeta inadaiwa ameuawa kwa kipigo na ASAS akishirikiana na SUMA JKT mkoani Iringa zilipo ofisi za ASAS kwa madai ya kusababisha hasara lita 200. Inadaiwa dereva huyo aliyekuwa mwajiriwa katika kampuni hiyo ya ASAS alisababisha hasara hiyo katika safari yake...
Back
Top Bottom