Mbeya: Mkosoaji wa serikali ya Samia katika mtandao wa Tiktok akamatwa na wanadaiwa kuwa polisi

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
62
1,246
Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka polisi Mbeya.

Mwamlima amekuwa akiwakosoa wabunge na madiwani wa mkoa wa Mbeya akiwemo Tulia, Mulugo na wengine. Kutokana na mazingira hayo kutekwa kwake kunahusishwa na msimamo wake dhidi ya serikali na chama tawala. Lakini pia polisi kukosa majibu ya moja kwa moja kuhusu Mwamlima kunatia mashaka kwamba wanahusika au wanalijua tukio hilo.

Sisi kama watetezi wa Haki za Binadamu tunaitaka serikali ya Samia imuachia haraka Mwamlima. Sisi tunaamini kila mwananchi anayo haki ya kuikosoa serikali aliyoiajiri pale ambapo inafanya kazi chini ya kiwango.

Nawawekea link ya TikTok ya Kennedy Mwamlima hapa.

View: https://vm.tiktok.com/ZMMCSmXxK/

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.
 
Inawezekana amedondokea ndani ya kadaraja alikokuwa akikasema , baada ya kunywa kangara!
 
Mtanikumbuka 🐼
Watu wakianza kutoa testimony zao kuhusu utawala ule wanaukumbukaje mnaanza kusema marehemu hasemwi aachwe apumzike kwa amani.

Bahati mbaya Tanzania bado watu hawajajitokeza ila Kenya survivors waliokuwa detained Nyayo torture chambers na Kamiti maximum prison enzi za utawala wa kidikteta wa KANU walishatoa documentary kuhusu madhila waliyoyapatia chini ya utawala wa Moi na wakiapa hawatomsamehe kamwe..

Naamini huyo Magufuli kuna siku documentary itafanyika sababu records zipo na msije kujitokeza kusema aachwe apumzike kwa amani.

Kenedy Mwamlima ambaye ni TikToker maarufu kwa kukosoa serikali ya Samia ametekwa na watu wanaodaiwa ni polisi Mbeya mjini. Siku ya tano leo ndugu zake hawapati ushirikiano wa kutosha kutoka polisi Mbeya.

Mwamlima amekuwa akiwakosoa wabunge na madiwani wa mkoa wa Mbeya akiwemo Tulia, Mulugo na wengine. Kutokana na mazingira hayo kutekwa kwake kunahusishwa na msimamo wake dhidi ya serikali na chama tawala. Lakini pia polisi kukosa majibu ya moja kwa moja kuhusu Mwamlima kunatia mashaka kwamba wanahusika au wanalijua tukio hilo.

Sisi kama watetezi wa Haki za Binadamu tunaitaka serikali ya Samia imuachia haraka Mwamlima. Sisi tunaamini kila mwananchi anayo haki ya kuikosoa serikali aliyoiajiri pale ambapo inafanya kazi chini ya kiwango.

Nawawekea link ya TikTok ya Kennedy Mwamlima hapa.

View: https://vm.tiktok.com/ZMMCSmXxK/

Mdude Mpaluka Nyagali 7 x 70 Sumu ya Nyigu.

Watukanaji wote kama wewe mnatakiwa kuwa ndani na mtatolewa siku Samia akitoka madarakani.
 
Nchi ya kisenge sana hii, hawataki kuambiwa ukweli, unapoukataa ukweli ni ngumu kujirekebisha.

Kukubali tatizo ndio hatua ya mwanzo ya suluhisho ya tatizo, viongozi wetu wakubali hapa tulipofika ni sababu yao.
" Kutekana tekana ni mambo ya kishamba" alijisemea na mkimbizi ROMA.
 
Back
Top Bottom