Mkosoaji wa Serikali ‘aliyetekwa’ siku 5 zilizopita Mbeya apatikana Igunga

Mdude_Nyagali

Member
Dec 11, 2022
62
1,246
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais Samia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora.

Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.

Asanteni wote mliopaza sauti.

Screenshot_20240416-202344_1.jpg
IMG-20240416-WA0009_1.jpg
 
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais @SuluhuSamia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.

Asanteni wote mliopaza sauti.
Huyu ni kibaka tu halafu mnampa umaarufu wa kuwa eti mkosoaji wa Samia?
Hata wewe Mdude_Nyagali unajifanya mkosoaji wa Rais Samia, unajidanganya tu. Ni viongozi wakuu tu wa CHADEMA akina Mbowe, Mnyika na Lissu ndiyo wanaeza wakajiita wakosoaji wa Samia lakini siyo nyinyi vidampa. Siasa hamuzijui ndiyo maana mnaishia kutukana.

Haya kamkague marinda huyo Mwamlima uone kama hajavuliwa ubingwa kama wewe ulivyovuliwa
 
Huyu ni kibaka tu halafu mnampa umaarufu wa kuwa eti mkosoaji wa Samia?
Hata wewe Mdude_Nyagali unajifanya mkosoaji wa Rais Samia, unajifanganya tu. Ni viongozi wakuu tu wa CHADEMA akina Mbowe, Mnyika na Lissu ndiyo wanaeza wakajiita wakosoaji wa Samia lakini siyo nyinyi vidampa. Siasa hamuzijui ndiyo maana mnaishia kutukana.

Unasikitisha sana na kujionesha unavyopenda na kutetea ushoga.Kumbuka;Mtu anayetaka kwa hiyari yake kumuingilia kinyume na maumbile mtu mwingine naye ni shoga.
 
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais @SuluhuSamia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.

Asanteni wote mliopaza sauti.
Samia aliposema yeye na Magufuli ni kitu kimoja huenda baadhi hamkumuelewa. Sasa taratibu anazidi kujidhihirisha
 
Huyu ni kibaka tu halafu mnampa umaarufu wa kuwa eti mkosoaji wa Samia?
Hata wewe Mdude_Nyagali unajifanya mkosoaji wa Rais Samia, unajifanganya tu. Ni viongozi wakuu tu wa CHADEMA akina Mbowe, Mnyika na Lissu ndiyo wanaeza wakajiita wakosoaji wa Samia lakini siyo nyinyi vidampa. Siasa hamuzijui ndiyo maana mnaishia kutukana.

Haya kamkague marinda huyo Mwamlima uone kama hajavuliwa ubingwa kama wewe ulivyovuliwa

Posts zako kama hizi huwa twazitunza kwa rejea za baadaye.
 
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais @SuluhuSamia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.

Asanteni wote mliopaza sauti.

Mbeya - igunga watu hawa wameuwa wengi. Chui na wao, bora chui.
 
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Kennedy Mwamlima aliyekuwa akikosoa utendaji wa Rais @SuluhuSamia katika mtandao wa TikTok amepatikana Igogo Igunga Tabora. Kwa sasa anapelekwa hospital kwa sababu ana majeraha kwenye mwili wake ikiwemo mikononi. Tunamshukuru Mungu.

Asanteni wote mliopaza sauti.
Apo usikute bado hajalipa ada za watto au hajalisha familia mihemko mingi mitandaoni pole sana kwake mkuu 😂😂😂
 
Back
Top Bottom