Search results

  1. P

    Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

    Nikafikiri umeamua kuua raia wema kumbe wezi. Hata ingekuwa Mungu anashauriwa kuwaua wote basi tungeshamshauri afanye hivyo.
  2. P

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Nakuelewa ndugu Paschal Ila huu Muungano ni kana kwamba Tanganyika wanaulazimisha. Wazanzibari wako proud kujitambulisha kama wazanzibari. Watanganyika mna lenu jambo kwenye huu Muungano.
  3. P

    Video: Ubishani ni Zanzibar ni nchi au siyo? Wenzenu upande wa Zanzibar ni Wazanzibari au Watanzania? Wasira, Rais Samia vs Tundu Lissu: Nani mkweli?

    Paschal leo umeandika hisia au halisia? Kwa hiyo unamaanisha Mzanzibar ni uraia batili?
  4. P

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Huwezi kuilinganisha Mauritius na Zanzibar hata siku moja kwa kupata watalii. Data siyo za kweli Ila wanatuzidi. Hata maendeleo wako mbali
  5. P

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Kupanga ni kuchagua. Bongo tumechagua kuwa wezi wa mali za umma. Yote sawa
  6. P

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Makonda hana kesi mahakamani. Kama ni muuaji basi kashitaki.
  7. P

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Kwanza hatujitaji vyama vya siasa. Tunataka tu viongozi wanaotatua kero na kuleta maendeleo ya nchi. Achana na mambo ya vyama hapa.
  8. P

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja wanaonekana wanapwaya sana. Kawekwa nje ya game kwa muda na kwa utulivu kabisa kakaa kimyaa hadi pale...
  9. P

    Hati ya Muungano inatambua serikali 3, kwanini CCM mlitudanganya miaka yote hii?

    Watanganyika mna shida sana. Sisi tunajivunia Uzanzibari wetu.
  10. P

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Mimi na wew hata tukikutana live nakuzidi kila kitu cha maana. 1. Elimu 2. Familia bora 3. Pesa 4. Nguvu za kiume na uanaume 5. Urefu 6. Ndevu 😂😂😂😂😂
  11. P

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi. Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda...
  12. P

    Hizi sheria za kuwa na kifurushi kinacho-expire ni za wizi

    Utaratibu uliowekwa na mitandao ya simu kuwa kifurushi kinaisha muda wake siyo rafiki. Hii inamlazimisha mtu kupiga simu au kuangalia vitu vingine ambavyo siyo vya lazima ili tu awe amemaliza dakika zake au MB. Kwa nini vifurushi visiendane na matumizi ya mtu. Vifurushi vyote vilitakiwa kuwa...
  13. P

    Je wewe ni mpinzani, mkosoajiau, waibua kero kwa Serikali?

    Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana. Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani. Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
  14. P

    Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Uchaguzi wa nini na wakati mshindi anaajulikana tayari? Watu mnajitoaga ufahamu? Hivi nani wa kupambana na samia? KWa hoja zipi? Kwa mvuto gani?
  15. P

    Asilimia 60% ya Wafanyakazi wote wa Tanzania Wanalipwa chini ya Tsh. 500,000

    Kwani wafanyakazi wenyewe wanasemaje? Si urefu wa kamba unawasitiri?
Back
Top Bottom