Kwanini mpaka sasa RC wa Dar (Chalamila) hajatumbuliwa na kuwekwa ndani?

Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;

1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa

2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.

3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.

Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.

Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kum

Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;

1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa

2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.

3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.

Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.

Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Tena aanze na wewe unayetete majambazi
 
HAYAJAWAHI KUKUTA WEWE UNGEMWELEWA RC ...WALE MBWAAA OLE WAKOO WAKUWAHI WEWEE BORA UFEE WANAGONGA VISU KWENYE FIGOO INI NDIO UTAMWELEWA RC

SISI MBEZIBEACH ATUJUI KUMWACHA MWIZI MKUU NA KUNA MMAKONDE AKISHAKUFA MWIZI ANAKATA MASIKIO YOTE ANAONDOKA NAYO MPAKA SASA ATUJAWAHI KUJUA MKUU ANAPELEKAGA WAPI AMA KUYACHEMSHA WALE WAFEE TU
 
Wewe kama siyo mwizi basi ni raia ambaye hajawahi kuibiwa
 
HAYAJAWAHI KUKUTA WEWE UNGEMWELEWA RC ...WALE MBWAAA OLE WAKOO WAKUWAHI WEWEE BORA UFEE WANAGONGA VISU KWENYE FIGOO INI NDIO UTAMWELEWA RC

SISI MBEZIBEACH ATUJUI KUMWACHA MWIZI MKUU NA KUNA MMAKONDE AKISHAKUFA MWIZI ANAKATA MASIKIO YOTE ANAONDOKA NAYO MPAKA SASA ATUJAWAHI KUJUA MKUU ANAPELEKAGA WAPI AMA KUYACHEMSHA WALE WAFEE TU
NI KWELI ...HUYU KAMA SIYO MWIZI MWENYEWE BASI HAYAJAMKUTA......ILA WAMAKONDE MNATUONEA SANA:D:D
 
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;

1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa

2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.

3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.

Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.

Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Nikafikiri umeamua kuua raia wema kumbe wezi. Hata ingekuwa Mungu anashauriwa kuwaua wote basi tungeshamshauri afanye hivyo.
 
Kupitia video inayotembea mitandaoni, mkuu wa mkoa wa Dar, ambaye pia ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama, Albert Chalamila amesikika akitoa kauli hizi tatu kwa ujasiri mkubwa;

1. Amekiri, kujitamba, kujivunia na kujipongeza kwa kuua? mtuhumiwa wa wizi aliyeingia nyumbani kwake mkoani Iringa

2. Amewahamisha wananchi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote wa wizi wa kuvunja na kuingia ndani ya nyumba.

3. Ametoa amri na maelekezo kwa Polisi kuua mara moja mtuhumiwa yoyote anayevunja nyumba na kuingia ndani kwa dhumuni la kuiba.

Sababu za Chalamila kutoa kauli hiyo ni kutokana na kujenga dhana ya kuhisi kuwa dhamira ya mwizi wa namna hiyo huwa ni kutaka kumuua mwenye mali na upande wa pili kuponguza msongamano usiokuwa na sababu magerezani.

Sasa kwa kuwa kauli hiyo iko kinyume cha katiba, sheria na haki za binadamu ambapo mkuu wa mkoa alipaswa kuwa kinara wa kuzilinda na kuzisimamia, kupitia hapa JF tunahoji, kwanini mpaka sasa mkuu wa mkoa wa Dar yupo ofisini, na kwanini vyombo husika vya usalama vimeshindwa kumchukulia hatua za kumkamata na kumhoji?
Majizi yauwawe tu hakuna namna yoyote ya kuyatetea
 
Yupo sahihi
 
Back
Top Bottom