Search results

  1. RaiaMbishi

    Kibanda - Sio Ufisadi, Ni Urais 2015

    Mwaka 2009, Kibanda wakati ule akiwa mhariri mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima alianzisha mfululizo wa makala zenye kichwa kisemacho - Tuendako: Sio Ufisadi, Ni Urais 2015. Katika makala hizo, Kibanda alishambulia sana mtandao uliomwingiza Kikwete madarakani. Makala hizi zilileta mtikisiko...
  2. RaiaMbishi

    Mwanaume Kutoka na Mwanamke Msagaji

    Tabia ya wanawake kuwa wasagaji au angalau bi-sexual imekuwa ni kubwa sana Tanzania, na wengi wana wake zao au girl friend zao ambao hawajui ukweli huu kwani wanawake wengi wanaogopa kwamba wanaume wao wata waacha mara watakapogundua hilo. Kwa wale wenye uelewa au uzoefu wa suala hili, iwapo ni...
  3. RaiaMbishi

    Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Binafsi nimekuzwa na kulelewa na mzazi mmoja ambaye ni mama, sijawahi pata hata mapenzi ya baba nilipokuwa mwana. Kulea mtoto binafsi bila msaada wowote ilikua ngumu sana kwa mzazi wangu lakini alijifunga shuka kiunoni na kutosalimu amri ya uvivu. Kwakweli malezi ya mzazi mmoja pekee yana...
  4. RaiaMbishi

    Mwanaume Kumpenda Mwanamke Maana Yake Nini?

    Nimekuwa najiuliza, wanaume tunaposema tunampenda msichana/mwanamke, tuna maana gani hasa? Nimebaini kwamba wanaume tuna maana nyingi sana juu ya hili. Kwa mfano, je ukiambiwa uchague kitu kimoja tu kati ya hivvo hapa chini, halafu mwanamke utakayemchagua utapelekwa nae kwenda kuishi katika...
  5. RaiaMbishi

    Thamani ya Sex Kushuka TZ - Nani wa Kumlaumu?

    Wadau, Tanzania ya leo ni tofauti kabisa na Tanzania ya miaka ya nyuma, hasa kwa Dar-es-salaam. Mwanamke kulala na mwanaume imekuwa ni kitu cha kawaida sana, sio kama zamani. Zamani mwanamke kulala nae sio kazi ndogo. Utaambiwa subiri nikafikirie, jibu wiki ijayoooooo! Pengine tungesema tatizo...
  6. RaiaMbishi

    Facts Kuhusu Binadamu na SEX

    Kina dada, kina kaka, ipi au zipi mnakubaliana nazo na zipi mnakataliana nazo? indicate tu mfano, 'namba 2', n.k Source = Source: About Lustability During the months of research which have gone into devising our sexual compatibility test, we’ve uncovered some pretty extraordinary facts. We...
  7. RaiaMbishi

    Nimejeruhi Vibaya Mhudumu wa Bar

    Ndugu zanguni, nimekumbwa na kituko kibaya mjini arusha. Nilienda na ndugu yangu Bar jana, tukaagiza chakula. Tulikuwa tumeshakunywa konyagi kidogo. mhudumu kuleta chakula, akatuacha kwa kama dakika tano bila kutuletea maji ya kunawa. Nikaumuita na mazungumzo yakawa kama ifuatavyo: Mimi: Oyaa...
Back
Top Bottom