Search results

  1. vibertz

    Fighting spirit ni jambo kubwa katika mpira ukiachana na ubora na mbinu

    Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
  2. vibertz

    Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa Yanga msimu huu wa 2023/2024

    Inawezekana wachambuzi, mashabiki wa Simba na wadau wa soka wanaiona Simba ni mbovu ila upande wangu naona Simba inaonekana ni mbovu kwasababu inalinganishwa na Yanga. Yanga msimu ni timu bora na ngumu sana kwasababu inaongozwa na kocha mwenye mbinu haswa na anayeweza kuwatumia wachezaji wake...
  3. vibertz

    Aziz Ki anastahili kiwa nahodha wa Yanga

    Kama huyu mchezaji ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha Yanga kwa msimu inayokuja, basi apewe kitambaa cha unahodha huyu mwamba. Mwamnyeto bado yupo nyuma nyuma sana hasa kwenye tukio kama lile la Afrika kusini hakuonesha umuhimu wake kama kiongozi uwanjani. Kwanini Azizi Ki? 1) huyu jamaa ni...
  4. vibertz

    Uongo wa BeinSports kwenye uchambuzi wao kuhusu goli la Yanga

    Wanasema kila kitu hutokea kwasababu, tunasikitika Yanga kudhurumiwa goli lililo halali ila pamoja na hilo Yanga imeongeza idadi kubwa sana ya watu kuwazungumzia. Lile goli limeleta gumzo haswa katika soka la Africa. Nilikuwa naamini kwamba ni makosa tu ya waamuzi na hakuna maelekezo yeyote...
  5. vibertz

    Ushahidi wa video hii ni wazi Yanga ilinyimwa goli hapo jana

    Jana Yanga haikustahili kuishia hatua ya robo, ile goli ni halali kabisa na ushahidi wa video ni huu hapa. Mpira ulivuka mstari wa goal line kwa zaidi ya asilimia 100 kisha uka rebound tena.
  6. vibertz

    Je, mechi ya kesho ndani ya Loftus Versfeld tutegemee sura zile zile zilizocheza first leg?

    Young Africans kesho watakuwa nchini Afrika kusini kurudiana na timu inayoogopewa kwa Afrika kwa ubora walionao sio wengine ni Mamelodi Sundowns. Kuelekea mechi ya kesho kocha wa Yanga amestua press kwa kuongea maneno yasiyotarajiwa na wengi. Wengi walitegemea kuona Aucho, Yao na Pacome...
  7. vibertz

    Ijumaa ijao mafumbo yatafumbuka

    Baada ya nyimbo na tambo zilizotolewa tokea siku ya upangaji wa droo hatimaye first leg imekamilika huku waliokuwa wanapigwa vijembe kwanzia siku ya kwanza ya upangwaji wa droo ya robo fainali wakijipapatua kwa kikosi chao hafifu kilichokosekana wazee wa kazi watatu ( Pacome, Yao na injinia...
  8. vibertz

    Msaada hii ni app gani?

    Wakuu naomba kufahamishwa hii app inaitwaje? Ni app kwaajili ya habari za michezo au ni kwaajili ya kununua tiketi pekee?
  9. vibertz

    Nani ana nguvu kwa mchezaji kati ya Timu ya Taifa na Klabu anayochezea?

    Leo imefanyijka press kuelekea mechi ya Yanga vs Mamelod wikiendi ijayo, lakini kitu ambacho kimenipa ukakasi ni taarifa juu ya hali ya majeruhi hasa kwa Pacome. Ally Kamwe anasema, "Kuhusu Pacome tunasubiri majibu zaidi ya kambi ya timu yake ya taifa". Hivi mchezaji ni mali klabu au taifa...
  10. vibertz

    Naona humu zimeanza nyimbo za mapema za malalamiko kuwa Azam ni tawi la Yanga

    Yaani mashabiki ni watu wa ajabu sana, yaani kisa Azam kufungwa na Yanga na wao kuwashindwa basi inachukuliwa kama Azam wanafungwa na Yangs kwa kupenda. Kwanza hakuns derby tamu inayokuwa na ushindani kama mechi ya Azam dhidi ya Yanga, haijawahi kuwa mechi nyepesi na pia ni mechi inayokuwa yenye...
  11. vibertz

    Ni rasmi mechi za Yanga na Simba first leg kuchezwa usiku

    Wawakilishi wa Tanzania katika mashindano ya CAF champions league Simba na Yanga, watakuwa na kibarua kigumu cha kumeenyana na miamba ya soka la Africa. Simba watatangulia kucheza siku ya Ijumaa tarehe 29 saa tatu usiku na Yanga kufuatia kucheza siku ya Jumamosi ya tarehe 30 muda wa saa tatu...
  12. vibertz

    Ombi kwa shirikisho la soka Tanzania (TFF)

    TFF tunaomba mfikirie umuhimu wa mashindano, ubora wa mashindano na vipaumbele vya mashindano. Kwasasa timu ya Simba na Yanga zina mechi muhimu sana ya klabu bingwa hatua ya robo fainali na inachezwa tarehe kati ya tarehe 29 na 30 mwezi huu. Lakini nimeshangazwa na kutaka kuwatumia wachezaji...
  13. vibertz

    Ombi kwa shirikisho la soka Tanzania (TFF)

    TFF tunaomba mfikirie umuhimu wa mashindano, ubora wa mashindano na vipaumbele vya mashindano. Kwasasa timu ya Simba na Yanga zina mechi muhimu sana ya klabu bingwa hatua ya robo fainali na inachezwa tarehe kati ya tarehe 29 na 30 mwezi huu. Lakini nimeshangazwa na kutaka kuwatumia wachezaji...
  14. vibertz

    Hivi Aucho ataweza kurejea uwanjani kabla ya kukutana na Mamelod first leg?

    Droo imepangwa na ni dhahiri shahiri, Yanga imekutana na timu ambayo hakuna timu anayetamani akutane nae. Mamelod ndio timu inayoogopwa na kila mmoja ila Yanga ndio imepangwa nao. Ni vizuri kupimana ubavu na squad ya Yanga iliyokamili ila kama ikitokea kuna mchezaji wa muhimu kamiss basi ni...
  15. vibertz

    Utata wa goli la Maxi jana dhidi ya Ihefu, Azam TV yachangia

    Kuna wimbi la mashabiki, wachambuzi na wadau wa soka wakihoji uhalali wa goli la tano. Kwa wenzetu walioendelea mambo kama haya yameshapitwa na wakati ila kwa nchi zetu za kimasikini bado tumeshindwa kuendana na teknolojia. Watu tumepiga kelele sana humu juu ya uchache wa camera za Azam, lile...
  16. vibertz

    Kwa wale ambao wanaotaka mpira wa kujilinda ugenini basi msahau kwa Gamond

    Baada ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya Belouizdad kuna maneno mengi ya kiuchambuzi kuwa Yanga walifungua turbo wakati wapo ugenini jambo ambalo limepelekea kufungwa magoli. Baada ya mechi ile Gamond hakubadilisha falsafa yake aliingia kwenye mechi ya Al Ahly kwa mchezo ule ule wa mpira wa...
  17. vibertz

    Wana Yanga tuje tutafakari safari ya nusu fainali hapa

    Uzi huu ni sehemu ya maoni ya mashabiki mtazamo wao, hauna lengo la kufundisha watu majukumu kwasababu tunaamini tuna benchi la ufundi, wachezaji na uongozi unaojua nini cha kufanya. Tuje kwenye mada, siku ya Ijumaa timu ya Yanga itamaliza mechi yake ya hatua ya makundi kwa kucheza mechi Cairo...
  18. vibertz

    Kuna uwezekanao mkubwa Al Ahly akafungwa siku ya Ijumaa kule Algeria

    Katika pita pita zangu za kuangalia mechi za hivi karibuni kati ya Belouizdad alizocheza na mechi za Al Ahly alizocheza nikaja kustushwa na hali ya ratiba ya ligi ya Misri. Al Ahly mara ya mwisho kucheza mechi ya mashindano ilikuwa ni mwaka jana mwezi wa 12 tena ilikuwa ni mechi super cup...
  19. vibertz

    Simba kama imeshindwa kuifunga Azam hii basi wasitegemee kushinda mechi yoyote dhidi ya Azam msimu huu

    Leo mtoto mpendwa wa TFF alikuwa anacheza kiporo chake alichosogezewa mara kwa mara na baba yao mlezi TFF, Simba walikuwa na mazingira mazuri zaidi ya kushinda kuliko Azam. Na sababu kuu ya Simba kushinda ni kwasababu wana match fitness. Kikosi cha Simba ndio timu pekee ambayo wamepata nafasi...
  20. vibertz

    Kombe la Mapinduzi linaenda kupoteza hadhi na sifa ni bora yafutwe tu

    Haya mashindano yamekuwa yanachezwa huku kukiwa na maelekezo maalumu, APR wamelalamika na watu wengi walikuwa mashuhuda kwa dhurma iliyotokea kwa APR. Leo tena yamekuja kujirudia dhurma kwa Singida. Sitaki kuzungumzia kuhusu dakika kupitiliza, ila ni namna refa alivyokuwa anafosi kupatikana...
Back
Top Bottom