vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 1,417
- 2,573
Kama huyu mchezaji ataendelea kuwepo kwenye kikosi cha Yanga kwa msimu inayokuja, basi apewe kitambaa cha unahodha huyu mwamba. Mwamnyeto bado yupo nyuma nyuma sana hasa kwenye tukio kama lile la Afrika kusini hakuonesha umuhimu wake kama kiongozi uwanjani.
Kwanini Azizi Ki?
1) huyu jamaa ni muhamasishaji mzuri sana uwanjani awe yupo uwanjani au yupo benchi utaona anavyojitahidi kuhamasishana wenzie.
Hata kuelekea mechi ya robo fainali dhidi ya Mamelodi, Aziz Ki alitoa ahadi kwa wachezaji wenzie ya kutoa milioni moja kwa goli.
2) ni mpambanaji haswa uwanjani
3) Aziz Ki ni mchezaji mwenye upendo na kila mtu na mwenye furaha kwa kila mtu.