Tuseme Ukweli kuhusu Stephanie Aziz Ki

MAWEED

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
3,309
11,081
Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;

Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira.

Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie.

Aziz Ki ni mvivu wa kukaba pindi anapokuwa kapoteza mpira mara nyingi anarudi akiwa anatembea tu

Sawa sifa moja wapo ya mfungaji ni uchoyo lakini anatakiwa kubadilika sana.

Kuna nafasi anazipata nzuri za kuwawekea wenzie mapema lakini atataka alazimishe kupita, atataka apige shoot na mwisho wa siku anaharibu nafasi muhimu.

Ukiona Aziz Ki kapiga pass ya mwisho kwa wenzie basi ujue yupo mbali na goli lakini akiwa karibu na goli ni mchoyo sana anataka afunge yeye tu.

Hopefully ni wakati wake wa kubadilika na kama akiweka uchoyo pembeni basi atarahisisha au atasaidia timu kupata matokeo mapema uwanjani.

Skills yake
Talent yake
Power yake
Fitness yake
Ni mchezaji mzuri na muhimu lakini anatakiwa kubadilika.

FB_IMG_1712146612091.jpg
 
Ki anatoa sana pass sio mchoyo ata

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Huo uchoyo ndio umemfanya yeye kuwa top score wa NBC PL mpaka sasa na hilo kwangu sioni tatizo. Kuhusu kukaba hilo ni tatizo la kawaida kulingana na jukumu lake kuu kwa hiyo bado sioni kama ni shida.
 
Stephanie Aziz Ki ni mchezaji mzuri sana na mwenye uwezo mkubwa na umuhimu wake ni mkubwa ndani ya yanga sc, lakini hakuna kizuri kisichokuwa na kasoro;

Aziz Ki ana ubinafsi flani hivi uwanjani wakati akiwa na mpira.

Aziz Ki ni mzito sana kutoa pass sahihi kwa wakati sahihi kwa wenzie.

Aziz Ki ni mvivu wa kukaba pindi anapokuwa kapoteza mpira mara nyingi anarudi akiwa anatembea tu

Sawa sifa moja wapo ya mfungaji ni uchoyo lakini anatakiwa kubadilika sana.

Kuna nafasi anazipata nzuri za kuwawekea wenzie mapema lakini atataka alazimishe kupita, atataka apige shoot na mwisho wa siku anaharibu nafasi muhimu.

Ukiona Aziz Ki kapiga pass ya mwisho kwa wenzie basi ujue yupo mbali na goli lakini akiwa karibu na goli ni mchoyo sana anataka afunge yeye tu.

Hopefully ni wakati wake wa kubadilika na kama akiweka uchoyo pembeni basi atarahisisha au atasaidia timu kupata matokeo mapema uwanjani.

Skills yake
Talent yake
Power yake
Fitness yake
Ni mchezaji mzuri na muhimu lakini anatakiwa kubadilika.

Mchoyo na bado anaongoza kwa assist..!
 
Ukishabikia sana Simba na Yanga kichwani zinapungua Lazima.

KUNA VIJANA WENGI MNO AKILI ZIMERUKA KABISA, HAWANA FUTURE WAO NI KUWAZA SIMBA NA YANGA TU.....

MSIPOTEZE MUDA NA UPUUZI WA SIMBA NA YANGA.

MY MESSAGE
MWENYE MASIKIO NA ASIKIE
 
Mpira ni mchezo mgumu sana hapo hapo unaposema angetoa pasi mwingine atakwambia pale angevuta kidogo apige mwenyewe
Hilo la kukaba ni sawa hakabi sna na hii ni kutoka na majukumu yake uwanjani kama ulivyosema hakuna aliyekamilika
Kuna muda mpira unataka uwe mbinafsi...kipindi nacheza kocha wangu marehemu mzee Mokake alikua ananiambia wewe ni forward mtu wa kufunga sasa pasi una mpa nani wkt wao wanatakiwa kukupa wewe ?
 
Uhuru umepitiliza... Hizo ni sifa za mchezaji wako unayetakiwa kumuumba... Azizi ameshaumbwa ndivyo alivyo na muda wa yeye kubadilika umeisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom