Search results

  1. N

    Nani anastahili huruma kati ya Israel na Palestine?

    Sina maelezo mengi wote wenye akili timamu tumeona biasness, hypocrites, na double standard nyingi kwenye huu mgogoro. Media coverages ni full of biasses kila mmoja amechukua upande, je nani anastahili huruma. Alianza kushambuliwa israel kisha akajibu mapigo je who deserve sympathy.
  2. N

    Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

    Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote. Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe. Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija...
  3. N

    Naomba kuelimishwa kuhusu Hayati Lowassa kuagwa kwa heshima za kijeshi

    Naomba kuelimishwa kuhusu heshima za kijeshi anazopewa Lowassa katika msiba wake
  4. N

    Usipuuze uwezo wa Medani wa Jeshi na watu wa Israel

    Hakuna kitu kinatisha kwenye historia na maisha yote ya binadamu kama vita, ukiingia kwenye vita ya mtu mmoja mkatwangana mangumi lazima kuna mmoja au wote mtatoka mmeumia. Kushinda ndani ya uwanja wa medani katikati ya mapigo ya moto sio hadithi ni kitu kinatisha sana. Katika kitu kinanivutia...
  5. N

    John Boko apumzishwe sasa

    Kama ni uganga basi huyu mwamba mganga wake hatari, ukitizama work rate yake, unyumbulifu yaani jamaa anaonekana kachoka haswaa, one vs one battle anashindwa sana. Kila mwenye macho anaona mwenyewe.
  6. N

    Tanzania kusoma imekuwa nongwa sana sijui tufanyeje

    Elimu Tanzania imegeuka kichekesho maana hakuna anae jali sana kuhusu umuhimu wa elimu. Watu hawataki tena kujifunza na kutatua changomoto za jamii ila wanatafuta vitu ili kujitoa kwenye midomo ya wacheshi. Ajabu hii wasomi wanadharauliana wao kwa wao kila mmoja anamuona mwenzie kilaza...
  7. N

    Naomba kuuliza tofauti ya Army Corps na Marine Corps ndani ya jeshi la Marekani

    Kwa wale wadau wa mambo ya medani wanijuze kuhusu hivi vitengo ndani ya jeshi la marekani vina tofauti gani maana kwa ufupi nimeona hata drill instructors wao wakiwa na personalities tofauti. Naomba kuwasilisha kwa wapenzi wa mambo ya jeshi kwenu
  8. N

    Wanaosema bandari imeuzwa wanavikosea heshima vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama

    Ni wazi kuwa mjadala kuhusu bandari ulianza vizuri na kuleta radha kwelikweli lakini ghafla uliharibika baada ya kuvamiwa na wanasiasa na watu ambao waliingiza hisia ambazo hazileti afya katika umoja wetu wa kitaifa. Ushiriki wa sector binafsi katika uzalishaji na utoaji huduma sio Jambo geni...
  9. N

    Propaganda zinashinda vita kwenye uwanja wa medani, case ya vita ya Russia Ukraine

    Vita ni tamu kusimulia kutokana na matendo yake ya kishujaa lakini pia vita ni chungu kuiona kutokana na matukio ya mstari wa mbele yaani kumwaga damu kikatili na kupatwa kwa ugonjwa wa post traumatic stress kwa participants wote wa vita. Leo nataka niwafahamishe vijana wadogo wajue kuwa vita...
  10. N

    Hamasa za wanasiasa kwenye mpira ni laana

    Katika dunia ya leo ambayo ustaarabu upo kwenye kiwango cha juu mambo ya hamasa kwenye michezo hususani mpira yamepewa nafasi ndogo sana. Mpira ni mchezo wa medani unaitaji mikakati, mbinu na uhodari kuweza kumshinda mpinzani wako. Hamasa zimewafanya wachezaji wa yanga kuwa overwhelmed na...
  11. N

    Kwanini Uingereza imekuwa mshiriki muhimu wa vita ya Ukraine tangu vita ianze?

    Tangu vita baina ya majirani hawa walili ianze imenifanye niwaze nikwanini Uingereza amekuwa sehemu muhimu sana kutoa msaada wa hali na Mali kwa Ukraine kuweza kukabiliana na urusi, kuanzia magazeti yake propaganda, mafunzo kwa Askari, upishi wa propaganda, silaha hata kutoka makazi kwa...
  12. N

    Tuliocheza disco dhamani mpaka miguu inatetemeka tukutane hapa

    Maisha ni safari ndefu sana maana tulipotoka sipo tulipo sasa maana maisha yamebadilika sana. Huko nyuma kipindi kama hichi cha sikikuu watu walicheza disco na kukata ngoma haswaa, wale wa kijijini walicheza mpaka nyasi ziling'oka. Walikuwepo making wa dancing floor yaani akianza kukata wote...
  13. N

    Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

    Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu...
  14. N

    Kwanini baadhi ya watanzania wanadharau elimu?

    Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha, elimu ni kio, elimu ni Pesa, elimu ni tiba, elimu ni kila kitu kwenye Maisha ya mwanadamu yoyote...
  15. N

    Nini kinafanya Marekani kuwa imara?

    Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa sana katika mambo yake, elimu, sanaa, technolojia, jeshi, huduma za kijamii kama afya mpaka dhambi...
  16. N

    Watanzania wanawaza kumtukuza mtu, Rais kuliko taifa lenyewe

    Huwa nakaa najiuliza nani alituletea hili balaa maana imefika kipindi unaona kabisa jinsi gani watanzania wanashindwa kujali na kathamini taifa lau zaidi ya umaarufu binafsi wa kiongozi mkubwa wa nchi. Tabia ya viongozi kujenga umaarufu binafsi kuliko hata taifa lenyewe limezaa balaa kwenye nchi...
  17. N

    Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

    Baada ya uvamizi wa urusi ndani ardhi ya jirani yake ukraine kumetokea hali tofauti ya namna vikosi vinaweza kupata umiliki ndani na nje ya uwanja wa medani. Matumizi ya silaha kubwa kama vifaru yameonekana kuwa vulnerable kwani imekuwa rahisi kushambuliwa na silaha nyepes za kubeba begani, "...
  18. N

    Tukutane wanaume tuliowahi kupata “wife material” mpaka leo tunajuta baada ya kuleta wenge

    Wazungu wanasema " you will never miss your water untill your well gets/become dry, yaani umuhimu wa maji huja baada ya kisima kukauka. Nakumbuka nikiwa mwaka wa kwanza wa masomo yangu katika moja ya chuo kikuu hapa nchini niliwahi bahatika kupata " a well raised woman '' unfortunately...
  19. N

    Kwanini huko Ughaibuni kama Marekani na Uingereza wasomi (Maprofesa na Madaktari) hawashoboki na siasa?

    Wakuu nimejaribu kufuatilia huko mambele nimegundua wasomi wakubwa hawajitokezi sana directly kupambania madaraka kama huku kwetu gizani Africa. Huko kwa mabeberu wasomi wakubwa wako huru sana (autonomy) kutoa ushauri hata kukosoa huku kwetu wasomi wanatoka jalalani wengine ni chawa promax...
  20. N

    Nani ndio super power wa ukweli ukanda wa maziwa makuu kudhibiti mikwara ya Rwanda na Congo

    Siku zote panapofuka moshi ujue kuna moto hivyo kila jambo linalotokea huwa halikosi sababu. Kenya ameonekana kujiandaa kupekeka mamia ya wanajeshi Congo baada ya waasi kupata nguvu mashariki ya Congo na kukua kwa uhasama kati ya congo na Rwanda. Ikumbukwe mwaka 2013 Tanzania alipeleka...
Back
Top Bottom