Search results

  1. R

    Jiko imara lenye ovena

    Wana jamvi habari. Naomba kujua kampuni inayotoa majiko ya kupikia yenye oven ambayo yanasehemu ya kupikia kwa gas na plate moja ya kupika kwa umeme.
  2. R

    Anayejua shule ya sekondari inayomilikiwa na masisita Arusha

    Habari. Nahitaji shule ya sekondari ya O level ya wasichana au mchanganyiko inayomilikiwa na masisita yenye malezi na mazingira mazuri tofauti na st.Monica na Precious blood. Kama mwanao anasoma hiyo shule itakuwa vizuri zaidi. Asanteni.
  3. R

    Biashara ya bembea, faida na changamoto zake

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la Muumba. Ninaomba kujua juu ya biashara ya bembea za kisasa, mtaji wake, faida na changamoto zake.
  4. R

    Tution Center kwa Mrombo Arusha.

    Wanajamvi habari. Ninaomba kufahamu kama kuna tution center kwa wanaorudia mitihani ya kidato cha sita ya masomo ya sanaa maeneo ya Mromboo au Intel.Nikipata mawasiliano itakuwa vizuri sana.
  5. R

    Biomedical engineering ni nini?

    Mwenye uelewa wa kozi tajwa hapo juu naomba anipe ufafanuzi. Hii kozi inahusiana na nini? Ili uweze kusoma hii kozi unatakiwa usome mchepuo upi? Ukisoma hii kozi unafanya kazi gani na wapi? Je unaweza kujiajiri kupitia hii kozi? Karibuni kwa ufafanuzi.
  6. R

    Naomba mwenye uzoefu wa mradi wa kutotolesha mayai na kuuza vifaranga

    Wanajamvi nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kichwa Cha habari chahusika. Ninahitaji kuanzisha mradi wa kutotolesha mayai na kuuza vifaranga. Aliyewahi kufanya hii biashara aje anieleze Nini kinahitajika ili niweze kuanzisha huu mradi, soko likoje, faida na changamoto za...
  7. R

    Jinsi ya kuconfirm chuo

    Wana jfm naomba mwongozo wa namna gan ya kufanya confirmation ya chuo endapo mwanafunz kachaguliwa chuo kimoja tu..........natanguliza shukrani
  8. R

    Nime - bet nimeshinda milioni 18 naombeni wazo la uwekezaji

    Naomben ushaur jamani. nimebet jana nimeshinda 18m sasa sielewi hii pesa ni invest wapi ili iweze ku multiply......... Msaada tafadhali [emoji257]
Back
Top Bottom