Search results

  1. Los santos

    Ukiwa na mpenzi wako mchukulie kama Malaya ili siku ukija mfuma usiumie sana

    Huyo baba ameshiriki engagement party ya huyo bint na picha alikuwa anachukua Kama kumbukumbu ya tukio, lkn inaonekana walikuwa na mahusiano au walianza baada ya hiyo shughuli, hiyo picha wako pamoja wamebebana Ni siku tofauti Kwa ufupi wanaokataa ndoa siwezi sema wako sahihi au wanakosea ila...
  2. Los santos

    Je, umeshawai Kuota ndoto upo shule unafanya mtihani ilihali shule ulimaliza kitambo?

    Nimekuta wadau mtandaoni wanalia kuwa Huwa wanaota ndoto wanafanya mitiani either necta form 4,shule ya msingi ,chuo au 6 ilihali hiyo hatua waliivuka kitambo sana ,hizi ni baadhi ya comments zao 1.Hiyo ni taarifa kuwa Kuna eneo kwenye maisha yako bado haujafaulu na hauja kamilisha...
  3. Los santos

    Watanzania wanakunywa bia/spirit bila kula

    “Spirit zote tunavyo viwango, enery zote zinazo viwango, tatizo lipo kwa watumiaji, unachukua chupa nzima ya Hennessy au Red label unailaza kwenye meza unakunywa yote akija rafiki yako unaongeza, watanzania wengi wanatumia vibaya vinywaji wengine wanakunywa hawali, huli chakula unakunywa energy...
  4. Los santos

    Should a Christian become a Mason or join the lodge?

    From time to time, I have people ask me about Freemasonry and whether or not a Christian should be a member of the Masonic Lodge. This is especially popular among those who want to better themselves and be a better person and hoping to express religious efforts. Whether Freemasons admit it or...
  5. Los santos

    Hakikisha unajua vitu hivi muhimu ili kuomba ajira za Kimataifa

    Kama umemaliza chuo una diploma, degree na kuendelea na unataka upate kazi kwenye kampuni,mashirika ya kimataifa,taasisi za kimataifa etc ambazo Huwa wanalipa mishahara mikubwa 8+ million hakikisha unajua na kuwa na vitu muhimu kama 1. Uwezo wa kutumia computer na program zake kama excel, word...
  6. Los santos

    Amuua mke na waya wa umeme

    Mike Ilishebo (44) mwanaume wa nchini Zambia amedaiwa kumuua mke wake huyo kwa kutumia waya wa umeme pia kumchoma visu tumboni kisha na yeye kujiua kwa kunywa sumu chanzo kikidaiwa ni mgogoro wa ndoa wa muda mrefu baina yao. Tukio limetokea huko Lusaka tarehe 3 April hii 2024, baada ya polisi...
  7. Los santos

    Don't depend on a single income

    Create Multiple Streams of Income You can't depend on a single income, especially not in this economy. You should have several fires burning at the same time to make sure you cover both your long-term and your short-term game. And you can do this in several ways: invest in a side hustle or a...
  8. Los santos

    Akiingia kitaa akili itamkaa sawa

    Anasema mshahara wa laki nane hawezi fanya KAZI, yeye ni millioni 5 na akionewa sana alipwe millioni 3.5
  9. Los santos

    Joto Vs Uchafu/Usafi

    Kwakweli kwa hili JOTO la DSM alafu kama watu hawazingatii USAFI binafsi basi hao wanastahili kunyanyaswa kisaikolojia kwa kuwaambia maneno makali yanayoumiza. Leo nimekutana na mtu ananuka beberu akasome mbele alafu kwenye makwapa hajanyoa nywele mpaka zimebadilika rangi zimekuwa kama ugolo...
  10. Los santos

    Hizi ishu za Mungu/Dini ni very complicated

    Nimekuwa nikikutana na maswali mbalimbali kuhusu dini au Mungu mfano Niliwahi kuulizwa matendo mema yaliumbwa na nani nikajibu Mungu aliumba mema. Nikaulizwa tena mabaya yaliumbwa na nani nikakosa jibu. Jamaa akaniambia Mungu wako aliumba mema na mabaya na akakuumba binadamu dhaifu na ukifanya...
  11. Los santos

    Wanawake na mikopo

    Nina microfinance nimeanzisha mim na mwenzangu ambapo kinakuwaga active yaani makusanyo ni kuanzia ijumaa Hadi jpili manake sisi ni watumishi kwenye vyombo vyetu vya ma gwaride na saluti so muda tunapataga weekend ,tumeanza na Wanawake 100 tunasoma upepo kwanza mambo yakiwa mazuri tunarudi...
  12. Los santos

    Kero zilipaswa kutatuliwa na sekta husika, siyo mwenezi

    Ziara za mwenezi zinadhihirisha kwamba uongozi wao wa miaka yote hiyo ni wa hovyo kwa kiwango cha juu mno. Katika nchi yenye historia pana kama yetu, na mihimili mitatu iliyogharamiwa kwa majasho na damu za walalahoi, kuja kumtegemea mwenezi wa chama kimoja kati ya 18 vilivyopo haijakaa sawa...
  13. Los santos

    Models/ tasnia ya fashion

    Aisee ila hii tasnia ya umodel huku Tz Ina mushkeli sana Ni member Gani humu jamii forum anaweza kaa kama huyo mwenye PC toa na sababu
  14. Los santos

    Biashara ya kujiuza haitokaa ikaisha

    Sasa kama hao kwenye video ndo uwaambie elimu ni ufunguo wa maisha wakati umalaya kwao unalipa ,mtu kwa mwezi anaingiza Hadi 1 million mpaka 3 million unadhani umalaya utaisha kirahisi? Kwa kifupi biashara ya umalaya haitokaa ije iishe hata tufanye maombi miaka nenda rudi ndo kwanza itazidi...
  15. Los santos

    Acheni kujichubua

    Wadada na wamama & baadhi ya wanaume wa kibongo acheni kujichubua mnakuwa mnatisha sana na hamvutii, unakuta mtu kajichubua Hadi mishipa ya kijani inajitokeza mwilini. Najua Kila mtu ana uhuru wa kufanya jambo analopenda lakini kama tunapinga rushwa,ujambazi ,ushoga basi na kujichubua inabidi...
  16. Los santos

    Nadhani Kuna laana ya mababu/mizimu ya kiafrika inaitesa ngozi nyeusi

    Kwa Africa ukiwatoa Algeria , Morroco,Tunisia etc ambao Wanajitaidi kwenye ustaarabu na kujitambua waafrika wanaobaki hasa ngozi nyeusi nadhani Wana Ujinga na upumbavu wa milele. Waafrika tangu tupate uhuru excuse ni Ukoloni + utumwa kwamba ndio ime turudisha nyuma.Haya leo hii, nchi nyingi za...
  17. Los santos

    Safina ya Nuhu

    [emoji16][emoji16][emoji16]daa nimeikuta sehem hili bandiko Nina maswali machache juu ya hii safina naomba watu wajuzi wajibu.. Swali la kwanza ni kuhusu gharika. Hivi dunia nzima ilipewa taarifa juu ya ujio wa gharika? Je, alioleta taarifa ya ujio wa gharika huku kijijini kwetu ni nani? Je...
  18. Los santos

    Stars ni kama Kobe mlemavu

    Aya Kwa Morrocco sababu watu walisema wana professional player wengi nje ndomana wametufunga Aya na hapa Kwa Zambia walioko pungufu sababu nin aisee?
  19. Los santos

    Ufugaji upi unafaa

    Niko DSM Ninataka nianze biashara ya ufugaji manake miaka 6 mbeleni yaani 2030 nitaacha ajira rasmi kwasababu ya kukosa uhuru binafsi.. mfano wa ufugaji ni:- mbuzi, ng'ombe, kuku wa mayai au kisasa mbwa German Shepherd Kwa ajili ya kuuza Sasa Kwa wazoefu mnashauri nin ? Wengine kwenye...
  20. Los santos

    AFCON 2024: Licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa Tanzania tusipate japo pointi moja, lakini pia tunaweza tusifunge hata goli moja

    Hii AFCON licha ya kwamba kuna uwezekano mkubwa tusipate japo point moja lakini pia tunaweza tusifunge hata goal [emoji3] Pia hata kama Mpira unadunda sioni nafasi ya stars kwenye hili kundi hata kidogo,kabla ya mechi waziri aliongea na wacheza Kwa masaa matatu sasa sjui mechi ijayo ataongea...
Back
Top Bottom