Search results

  1. D

    Nafasi 3 za kazi katika kituo cha massage

    Kazi ni massage service. Sifa za waombaji 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi mikocheni,sinza,mbezi beach,kijotonyama,kawe atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo...
  2. D

    NAFASI 3 ZA KAZI YA MGAHAWANI

    Mgahawa uliyopo kinondoni Dar es salaam unatangaza nafasi za wahudumu. VIGEZO ★Awe MSICHANA ★umri 18 -27 ★Mkazi wa Dar es salaam ★Mchapakazi na mvumilivu ★Elimu kidato cha nne na kuendelea Mshahara mzuri. Hududuma ya chakula cha asubuhi na mchana zinapatkana hapo hapo. Muda wa kazi ni kila siku...
  3. D

    MADEREVA WA UBER ,TAXIFY NA ROVA.

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva kupitia Email hapo...
  4. D

    Mwenye akaunti ya Uber na haitumii, sisi tunanunua

    Tuna nunua account za uber driver ...Mwenye account ya uber driver na haitumii unaweza kuiuza hapa. Inbox Au Jobsfacilitators@gmail.com
  5. D

    Nafasi za kazi

    Jobs facilitators ni Organization inayowaunganisha waajiriwa kwa waajiri. Kwa yeyeto mwenye hitaji la kazi yoyote tafadhali tutumie ujumbe kupitia Email Address hapo chini... Jobsfacilitators@gmail.com Na kwa muajiri anaehitaji muajiriwa pia anaweza kuwasiliana na sisi.kupitia Email Address...
  6. D

    KAZI ZA NDANI.

    Habari... Kwa yeyote anayehitaji mschana au mvulana wa kazi za ndani pamoja na usafi wa nje kutoka mkoa wowote au hapahapa Dar.Vijana wasafi,wajuzi wa mapishi na wenye nia ya dhabiti na kazi wanapatikana hapa.wasiliana na sisi kupitia Email adress yetu hapo chini. Jobsfacilitators@gmail.com...
  7. D

    Kwa yeyote anayehitaji mischana au mvulana wa kazi za ndani karibu tukuhudumie

    Habari... Kwa yeyote anayehitaji mschana au mvulana wa kazi za ndani pamoja na usafi wa nje kutoka mkoa wowote au hapahapa Dar.Vijana wasafi,wajuzi wa mapishi na wenye nia ya dhabiti na kazi wanapatikana hapa.wasiliana na sisi kupitia Email adress yetu hapo chini. Jobsfacilitators@gmail.com...
  8. D

    NAFASI YA KAZI DAR.

    Habari... Anahitajika kijana kwa ajili ya kazi ya utengenezaji na uuzaji juice ya miwa .. eneo kigamboni ferry .. awe msafi,mzoefu,muaminifu na mchapakazi. Mshahara mzuri .. malipo ya kila siku. Garama za chakula na usafiri atapata. Kwa muhitaji wa kazi hii aniPM au atume ujumbe kupitia...
  9. D

    MSCHANA WA KAZI DAR.

    Habari... Kwa anaehitaji mschana wa kazi. Umri miaka 20, mwenyeji wa moshi. Ana ujuzi wa mapishi ya aina zote, msafi na mstaarabu. Elimu kidato cha nne. Mchapakazi na anajua kusoma na kuandika Kwa anaehitaji msichana huyo . Wasiliana nasisi kupitia email adress hapo chini...
  10. D

    Madereva wa Uber, Taxify na Rova Dar es Salaam

    Madereva wenye uzoefu na kazi na wanaoijua kazi wanapatikana kwa wakazi wa Dar es salaam ,Dodoma na Mwanza. SIFA ZAO ★Wanajua ufundi wa magari ★Wamepitia mafunzo ya udereva ★Hawana rekodi mbaya ya kutokamilisha hesabu ★wastaarabu ★Wasafi Wasiliana na sisi tunguunganishe moja kwa moja na dereva...
  11. D

    WAHUDUMU WA MGAHAWA DSM

    Mgahawa uliyopo kinondoni Dar es salaam unatangaza nafasi za wahudumu. VIGEZO ★Awe MSICHANA ★umri 18 -27 ★Mkazi wa Dar es salaam ★Mchapakazi na mvumilivu ★Elimu kidato cha nne na kuendelea Mshahara mzuri. Hududuma ya chakula cha asubuhi na mchana zinapatkana hapo hapo. Muda wa kazi ni kila siku...
  12. D

    TAXIFY DODOMA

    Mfumo wa usafiri wa kimtandao wa Taxify sasa wawafikia wakazi wa dodoma. Kwa yeyote anaehitaji madereva wa hesabu au mkataba usisite kuwasiliana na jobsfacilitators@gmail.com Madereva wanapatikana, wastaarabu na waaminifu na wenye uzoefu na kazi. Gari...
  13. D

    Wahudumu wa massage wanahitajika DSM

    Sifa za waombaji, 1. Awe msichana kuanzia miaka 18 hadi 30. 2. Awe ana ujuzi wa massage na urembo (beauty therapy) 3. Awe mkazi wa dar es salaam, ikiwa anaishi ilala atapewa kipaumbele. 4. Awe tayari kufanya kazi bila msukumo. Mshahara kwa mwezi ni tsh 360,000/= Chakula cha asubuhi na...
Back
Top Bottom