Search results

  1. Holly Star

    GB whatsap ndo nataka kupigwa ban

    Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rula
  2. Holly Star

    Kama umepoteza nguvu za kiume soma hapa

    Habarini wanaume wenzangu Huu uzi ni muhimu sana kwako wewe mwanaume ambaye uimara wako umepungua kunako 6x6. Kunazoezi moja tu yaani moja tu linaleta suluhu ya kudumu na haraka isiyo na madhara. Zoezi hili ni kengel excercise, kwa kweli zoezi hili ni gumu balaaaa kulifanya ni kama unazuoa mkojo...
  3. Holly Star

    Yaleyale ya awamu ileeee yamerudi

    Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imekanusha taarifa zilizoandikwa mitandaoni kwamba iliuziwa ndege hii ya Q300 Bombardier ikiwa tayari ‘imechoka’ ikiwa pia ni Ndege ya zamani ambayo ilishakosa vigezo vya kuendelea kuruka. Baada ya kuandikwa mitandaoni kuwa pia Ndege hiyo imekwama Nchini Malta...
  4. Holly Star

    Nimekunywa brufen nina vidonda vya tumbo

    Habari, kwa maumivu niliyonayo sijui hata kama naandika sahihi Jana nlienda hospitali nikiwa na complication kadhaa, walinipima fbp,hpyrori, uti, maralia vyote nikawa neg ila najua nina historia ya hpyrori hapo nyuma na ninatumia lasergel Nlipewa brufen, dawa ya vidonda na cipro jana jion...
  5. Holly Star

    Kisasi kilichozaa penzi zito

    Daaah haya mapenzi shkamoo sana tu tena napiga na magoti. Wakuu mm ni muumini was under 20. Toka nimeanza kula hivi vitoto sielewi wala sisikii, yaani kama simba aliyekula nyama ya mtu. Niliambiwa na member mmoja humu tunafahamiana sana japo hatujaonana kwamba once ukianza huu mchezo kuacha...
  6. Holly Star

    Naiona sura ya Hayati Magufuli ndani ya Paul Makonda

    Heshima kwenu wana jamvi, kuna viongozi nimekuwa nawafuatilia sana since day one. Moja wapo ni makonda, bashe, majaliwa na wengine list ni ndefu. Ila leo nimwongelee makonda tu. Kiongozi huyu dam changa ni aina ya viongozi hawaogopi kuchukua maamuzi magumu and akiongea anaongea na mamlaka...
  7. Holly Star

    AMD vs INTEL

    wakuu hrshima kwenu Nipo dodoma kikazi, ila nahitaji nichukue laptop kwa ajili ya shughuli zangu sasa jana nikaamua kunyosha tu miguu natembea with no direction, dodoma sio mwenyeji kabisa. Akilini mwangu nlikuwa natembea angalau nipate maduka yanayouza laptops, nikiwa jirani na ofisi za ccm...
  8. Holly Star

    Iringa for the first time in my life

    Kwema waheshimiwa. Kesho nategemea kwenda iringa j2 nitakuwa napumnzika and j3 nitakuwa job. Nategemea kuwepo hapo hadi ijumaa so bandugu hebu niambieni viwanja vizuri vya kutembelea. Lodge nzuri isiyozidi elf 30. Occasionally huwa natumia pombe bia 2 au 3, sipendi sehem zenye makelele na...
  9. Holly Star

    Poem that sounds louder

    POEM_DEDICATED_TO_ALL_TEACHERS. I AM A TEACHER... I May be a School Teacher, I May be a College Lecturer, I May be a University Professor ! Behind That Doctor, It is Me, a Teacher ••• Behind That Engineer, It is Me, a Teacher •• Behind That Statistician, It is Me, a Teacher ••• Behind That...
  10. Holly Star

    Bila sheria kali za gari za abiria ajali kuisha ni ndoto

    Nimekaa nikafikiria sana, kuhusiana na ajali za barabarani zinazopoteza baba, mama , kaka na wadogo zetu kila kukicha. Ki utaalam mimi ni IT expert japo sina hata masters ila nafanya mambo makubwa kidogo kuliko elimu niliyonayo. Endapo itatengenezwa intinentary application ambayo itafuatilia...
  11. Holly Star

    Sura mbili za mwanamke

    Hivi wanawake mnajua mwanaume akiwa anakupenda anakuona mrembo sana kama hivi hii sura ya2 ila mcheat, mfanyie vituko, haijalishi wewe ni mrembo umejipamba ajae ila atakuona kama ilivyo kwenye sura namba 1
  12. Holly Star

    Wanaume tuoe wake wawili au zaidi

    Wakubwa shikamoni na wengine habari zanyu, wadogo marahaba. Kwenye mambo ya ndoa nipo mwaka wa 13 sasa nafikiri nina uzoefu wa kutosha. Katika kujifunza kwa waliotangulia, nimegundua wanaume wenye mke mmoja uzeeni wanaishi maisha ya mateso makubwa yaan you become a stranger to your own family...
  13. Holly Star

    Msichana ninayemsomesha ananisaliti

    Guys huwa sipendi sana kuanzisha uzi ila huwa naanzisha uzi ndani ya uzi wa mtu. Leo nimeona tu niweke uzi mpya. Iko hivi kwa miaka zaidi ya 8nimekuwa nikihangaika kutafuta mke mdogo. Napenda kuandaa mke sio nikute ameandaliwa.niliyenaye nlimsomesha chuo mwenyewe na ndiye mke wangu. 2014...
  14. Holly Star

    Kenya wanakinukisha soon, ni suala la muda tu

    Kwa ninayoyaona kwenye majukwaa ya siasa za majirani zetu kenya, mungiki wanarudi muda wowote. Jamaa wanamtukana Rais kama mtoto.
  15. Holly Star

    Ask anything concerning any professional and I will give the answer

    Hello If you want to know anything concerning any profession, then you are free to ask I will give the correct answer right here. Your question must be clear and short.
  16. Holly Star

    Sijawahi kuoa na sifikirii kuoa kabisa "Muigizaji Steven Nyerere

    SIJAWAHI KUOA NA SIFIKIRII KUOA KABISA "MUIGIZAJI STEVEN NYERERE. Mwigizaji na Staa wa Bongo movie Kutoka nchini Tanzania Steven Nyerere,amesema kuwa yeye tangu azaliwe hajawahi kuoa na hafikirii kabisa swala hilo kwani ndoa nyingi zimejaa usaliti mwingi na maumivu makali. Una mtazamo gani...
  17. Holly Star

    Hivi tukiamua kuachana na shilingi tukatumia dolar itakuwaje?

    Kwema wakuu. Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya Marekani tataathirika ama kufaidika na nini?
  18. Holly Star

    Ku-top up mkopo

    Aisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln. Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln, nikataka kutop up. Aisee nilitakiwa kurudisha 7 Milions maana riba ni milion 4+ nikauliza afsaa wa...
  19. Holly Star

    Chawa hakai kwa watu walio wasafi

    Kumekuwa na huu msemo wa CHAWA kwa muda mrefu sasa. Mdudu chawa ni mdudu anayeishi kwa kunyonya dam za viumbe hai hasa binadam. Kwa tuliozaliwa miaka ile tuliishi nao sana hawa kwenye mashuka, chupi, nguo ama mablanketi yasiyofuliwa, na machafu, wanapenda sana pia kuoshi kweenye nywele chafu...
Back
Top Bottom