Hivi tukiamua kuachana na shilingi tukatumia dolar itakuwaje?

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,315
8,038
Kwema wakuu.

Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya Marekani tataathirika ama kufaidika na nini?
 
Central bank wanaouwezo wa kuprint new currency yenye value kubwa tatizo linakuja ktk international trade especially in export kunakuwa na ushindani mkubwa and sometimes unaweza ukakosa soko LA nje
unaweza Ku adopt foreign curreny if inflation reach uncontrolled situation currency depreciation huwa inapunguza demand ya hio currency lakin kutumia currency za nje kuna madhara mengi
 
Kwema wakuu. Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya marekani tataathirika ama kufaidika na nini
Technically Tanzania tunatatizo la balance of trade yaan import>export
hii ndio hasa sababu demand ya pesa yetu ipo chini koz hatuuzi bidhaa nyingi nje Ila tunanunua bidhaa nyingi nje
 
Soma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia 🇿🇲 kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import
 
Soma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import
the only way ni kubadilisha falsafa ya uchumi we need big reform koz hatuna viwanda hata zile primary production sector bado zipo na utendaji kazi mbovu
 
Zimbabwe 🇿🇼 bado wanatumia usd, pound na rand, nimepita juzi kati mabadiliko yanatia hamasa, nchi inaaza kurudi ilikukua kabla ya Dictator Mugabe to make a huge mess, Harare to Chilundu carriageway inakua bora, tuelewe wote wanakimbiza soko la DRC, sisi T1 bado tunapiga hadithi nayo, nimetoa mfano huu kuonyesha unaweza kutumia foreign currencies, ila binafsi sipendi ni vema tukaondoa zero kwenye notes zetu,then tuache politics, tufanye kazi In a smart way
 
the only way ni kubadilisha falsafa ya uchumi we need big reform koz hatuna viwanda hata zile primary production sector bado zipo na utendaji kazi mbovu
Welldone mkuu, tujenge zile heavy industries sio upuuzi eti wa kukoboa mpunga!,tushawishi nchi kama Sweden wawekeze kiwanda cha to manufacturers Scania trunks SIO to assemble, huu sio uwekezaji tunaouhitaji, nasi tufanye kazi na tufanye kazi kwa smart, sio mazoea au vitisho au nguvu
 
Soma hili mkuu mtoa hoja,Namibia, Lesotho, Swaziland nchi zote hizi zime hook currency yao kwenye SA rand(zar),ukiwa na rand inaweza kutumia kwenye hizi nchi, Botswana wana very strong currency(pula),hii pula ni strong than zar ila kibiashara unaweza kwenda dukani ndani ya Botswana na rand na ukanunua kitu ila huwezi kutumia pula ndani ya SA, Zambia 🇿🇲 kipindi cha uongozi wa Rais Mzungu (Mr.scott,rip)aliweza kuigeuza ZWK in 6mths, aliondoa zero zote na kubakiwa na only 100note, was a good move na sisi tunaweza fanya hili, pia BOT yetu ipewe mandate mpya including to keep on check inflation, kuufanya currency yetu iwe strong na iweze kushindana na world strong currency (kibiashara),hatimisho, tuendelee kutumia currency yetu ila tufanye kama Zambia, tufanye kazi ili tuweze ku export more than import
Zambia wanatuzidi nini kiuchumi?
 
Hebu tuwaulize wale JPM alisema "pale BOT kuna PhD 17. Ni swala la kiuchumi.
PhD zimefanya Nini ama zimeleta impacts gani kwenye uchumi zaidi ya mtu kuitafuta ili apate teuzi ama nafasi kubwa serikalini. Kisomo Cha wafrika naamini tunakariri Tesla alivyogundua umeme ama kanuni ama theory za kiuchumi zilizotafutwa na wazungu.

Mwigulu na PhD take ya kukariri akafanya Nini kwa uchumi wa Tanzania zaidi ya kuangalia sehemu za kukamua Kodi. Baadala ya kuvutia uwekezaji mkubwa tokea nje viwanda vingi ama tuzalishe mazao mengi ili tuzalishe Ajira ili tuzalishe vyanzo vya mapato. Wao wanacheki sehemu za kukamua wananchi Kodi.

Siamini kabisa PhD kwanza wengi dissertation wanaandikiwa wao wanakariri wanaenda kuitetea mbele ya jopo.

Kuna vichwa bana Ila sio za kibongo
 
Angalia rate ya import and export.

Sisi tunaimport sana lazima isababishe currency devaluation ila kuendana na soko Ina maana tuna demand kubwa ya vitu kutoka nje kuliko wao kututegemea sisi ..

Trade imbalance ndo chanzo kikubwa kama unabisha miaka ya nyuma baada ya uhuru fedha yetu haikuwa chini sana against dollar ila sasa tunaimport mavitu mengi Hadi luxurious goods kama magari lazima tuumie upande wetu..

Kama tunaweza kuweka mikakati sahihi ya kufanya biashara za uhakika na kuteka soko la dunia taratibu utaona thamani inapanda.
 
Zambia wanatuzidi nini kiuchumi?
Mkuu usiishi kwa mazoea, panua wigo wako wa ufahamu, middle class wewe inabidi ujitahidi kuonyesha ufahamu wako, ulitakiwa wewe uweke hapa statistics za kuonyesha sisi hatuzidiwi na Zambia kuliko ulivyojibu, mwanafunzi wa hapa lingusenguse primary school wa std 6 anaweza kujibu bora kuliko wewe.,tembea na kajionee nini wenzetu wanakifanya kwa sasa kuinua nchi yao
 
Back
Top Bottom