Msichana ninayemsomesha ananisaliti

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,315
8,038
Guys huwa sipendi sana kuanzisha uzi ila huwa naanzisha uzi ndani ya uzi wa mtu. Leo nimeona tu niweke uzi mpya.

Iko hivi kwa miaka zaidi ya 8nimekuwa nikihangaika kutafuta mke mdogo. Napenda kuandaa mke sio nikute ameandaliwa.niliyenaye nlimsomesha chuo mwenyewe na ndiye mke wangu.

2014 nlisomesha chuo mschana mwingine bahati mbaya akawa hana uzazi na mm shida kubwa ni kupata watot, huyu alikuwa mtoto wa maskini ambapo mama yake hakuwa na kazi hata mlo tu ni shida. Nlikuwa namgarimia kila kitu na huyu nlimkatia hadi bima yeye na mama yake huyu jina lake linaanza na J nliwahi kuleta uzi hapa wa majina flaniflani na tabia zao za kucheat. Baada ya kuzunguka sana kwa madaktari bila mafanikio ilibidi niachanenaye ila baada ya tukio la kumfumania na mwanaume mwingine.

2017/8 nlianza kusomesha tena mschana mwingine, bahati mbaya sana naye alikuwa na jina linaanza na J vilevile na linafanana na huyu wa mwanzo, naye alikuwa na mzazi mmoja tu mama yake kwani waliachana na baba yake akiwa mdogo, naye tulikuja kuachana baada ya kumfuma na kijana mwingine. Nlileta uzi pia kwamba alikuwa ananiomba hela licha ya kuachana. Sasa alikuwa na rafiki yake na rafiki yake alikuwa anaona ninavyomjali na kumhudumia kwa upendo. 2021 tukajikuta kwenye penzi zito na huyu rafiki yake by that time 2021 ndo alikuwa kamaliza f4.

Huyu naye ana wazazi wote ila baba ni kama ameitelekeza familia japo wanaishi wote ila mzee hahudumii choxhote, nao mlo tu ni shida. Baada ya mahusiano naye mwaka mmoja, 2023 nlimtafutia chuo aende kusoma ambako namlipia mimi kila kitu kwa asilimia 100.

Huyu wakati tunaanza alikuwa ni kicheche kupindukia but nlikuwa naye just kimashara tu sababu nlitoka kuumizwa na yule J, nlifanya kuchukua rafiki yake kama kulipiza pia. Alibadilika taratibu na kuwa binti wa kawaida tu. Naye nligundua ananicheat huko chuon na mshkaji ikabidi nichukue mdogo wake nimgonge kama kulipiza, nlileta uzi hapa sasa mdogo mtu leo nlikuwa naye ndo kanifungukia A to Z mpaka mwanaume anayetokaa naye chuo.

Bahati mbaya sana hamhudumii hata kitu chochote. Nlifundua hilo coz nliitisha mgomo kuhudumia nywele zake amekuja likizo zinanuka hazina matunzo. Huyu manzi mamake anajua mchongo wote hivo likizo anafikia kwangu huwa nampa nafsi kidogo anaenda kusalimia then anarudi.
Nlichoamua.

Wekend anarudi kwangu ambako atakaa hadi anaondoka kurudi chuo, nlichopanga nitampelekea moto hasa then siku anaondoka namwambia sina hela, na ninajua chuo kama sehem zake za siri hazitaumia babsi atasoma kwa shida sana. Nimeishiwa huruma naye kabisa. Akinichimba sana naweza kumwambia ukweli.
 
Guys huwa sipendi sana kuanzisha uzi ila huwa naanzisha uzi ndani ya uzi wa mtu.
Le
Wekend anarudi kwangu ambako atakaa hadi anaondoka kurudi chuo, nlichopanga nitampelekea moto hasa then siku anaondoka namwambia sina hela, na ninajua chuo kama sehem zake za siri hazitaumia babsi atasoma kwa shida sana. Nimeishiwa huruma naye kabisa. Akinichimba sana naweza kumwambia ukweli.
Unaweza ukawa na mwili mkubwa lakini akili ikawa ndogo kama kifuniko.
 
Sasa mkuu si ufungue tu ka chuo chako binafsi ili wote unaowasimesha wawe sehem moja unajichagulia kila siku kama mfalme suleiman?
Kwa kias kikubwa wewe ni boya.
1. Ulisema majina ya J ni wasaliti, lakn kila mara uko nao.
2. Ushasomesha twice ukachapiwa, bado hujakoma, unasambaza muamala.
3. Ndege Wafananao huruka pamoja, so unawazunguka wale wale, na wanakufanya kile kile. It means washakujua we ni hovess.
Kweli hyo kichwa yako ni stoo ya meno tu.
Wahed!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom