Habari wakuu wanaJF, nahitaji ushauri kwa wajuzi wa jambo hili
Mimi niliishia form 2 nilikatiza shule kutokana ugumu wa maisha ya wazazi wangu hivyo sikubahatika kuendelea na masomo nikaingia kwenye utafutaji wa maisha mtaani sasa nahitaji kujiendeleza kupitia hizi shule za Qt.
Msaada wangu...
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza, kila mtu duniani muda mwingine hutamani kula kitu ambacho hajawahawi kula kutokana na mazingira yalivyo kwake.
Mtu mwingine anatamani kula kitu flani sena inashindikana huenda fedha hana au hamna wataalamu wa hicho chakula anachotaka nchi husika...
Kuna risiti nmeiona hapa morogoro niliponunua mbuzi sasa ilivyoandika ushuru wa mbuzi 1000 halafu baadae imeandikwa goat 1500 jumla elfu 2500 sasa goat nini na mbuzi nini hapo wakuu sijaelewa.
Katika sayari hii ya dunia kuna baadhi ya watu wanakwambia mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia, hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya watu wengi wametawaliwa na mawazo ya kimapenzi.
Pamoja na kuwapo kwa kundi hilo la watu wanaoamini hivyo lakini pia wapo baadhi ya watu huamini ya kwamba mapenzi...
Nimesikia rais magufuli katoa msamaha ila kwenye msamaha huo sijasikia kusamehewa masheikh wetu wa uamsho najua kusema ukweli kwao ndo imekuwa tatizo ila naimani ipo siku mungu ataleta neema yake watatoka
Kaburi la Mzee Martin Kiyeyeu aliyefariki mwaka 1974, kama linavyoonekana katika picha kando ya barabara ya Iringa-Mbeya
Uliwahi kusikia maajabu ya Kaburi hili la mtu maarufu katika fani ya waganga wa jadi Almaarufu Kiyeyeu?
Kaburi la Kiyeyeu, lipo Njiapanda ya Mlolo pembezoni kabisa mwa...
Leo kwenye pitapita zangu mida ya asubuh nipo mtoto wa mjomba tunaelekea shambani ghafla mbele wakati tunatembea tukakutana na nyoka mkubwa mweusi yule mtoto wa mjomba angu alipomuona akamrushia jiwe lilikuwa karibu yake cha ajabu yule nyoka hakukimbia bali akawa anatoa mlio wa ajabu na anazidi...
Kuna maneno yanaposemwa na mwanamke, huwa na maana tofauti na ile iliyoandikwa kwenye kamusi. Tuyaongelee machache.
Dakika tano
Kimsingi maneno dakika tano yanatakiwa kumaanisha ‘dakika tano’. Na hutumika mmoja anapomuahidi mwingine kuwa aidha atamuhudumia ndani ya dakika tano, au atafanikisha...
Arusha. Wizara ya maliasili na utalii kwa kushirikiana na Serikali ya Ujerumani ipo katika mazungumzo ya mwisho kurejesha nchini mabaki ya mjusi mkubwa ambaye kitaalam anaitwa Dinosaur aliyekuwa na uzito wa tani 50 ambaye alichukuliwa nchini miaka zaidi 100 iliyopita.
Akizungumza katika hafla...
Assalaam alaykum Bwana Yesu asifiwe wana JF swala langu kwa wajuzi wa masuala ya kupanga nyumba za shirika la taifa NHC ukoje kwa maana nimejaribu kitembea takribani mikoa 16 tanzania hapa na nmepata bahati ya kutembea maeneo ya mjini ila mikoa yote nayoenda nikikutana na nyumba za NHC nimekuwa...
Klabu ya soka ya Simba inakabiliwa na ratiba ngumu ya michezo yake ya ligi kuu pamoja na ile ya kimatafa ambapo mara baada ya michuano ya Sportpesa Super Cup inayoanza 22/01/2018 hadi 27/01/2019 timu hiyo itaondoka kwenda Misri kwa ajili ya kukipiga na Al Ahly.
Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa...
Da es Salaam. Siku chache baada ya kusambaa kwa tangazo lililotolewa na Manispaa ya Temeke kuhusu tozo ili kupata vibali vya sherehe za harusi na kuzaliwa (‘besidei’) kwa kiwango cha Sh50,000, wananchi wamesema jambo hilo linawaongezea mzigo kwa kuwa hali ya uchumi ni ngumu.
Mbali na sherehe...
Katika sayari hii ya dunia kuna baadhi ya watu wanakwambia mapenzi ndiyo yanayoiendesha dunia, hii ni kwa sababu asilimia kubwa ya watu wengi wametawaliwa na mawazo ya kimapenzi.
Pamoja na kuwapo kwa kundi hilo la watu wanaoamini hivyo lakini pia wapo baadhi ya watu huamini ya kwamba mapenzi...
Chanzo Mzalendo.net ::kuhusu Zanzibar baada ya kupinduliwa kwa serikali huru ya Zanzibar Januari 12, 1964 kwa kuuangalia Muungano ulioundwa baina ya Tanganyika na Zanzibar Aprili 26, mwaka huo huo.
Licha ya kuwa hai kwa miaka 55 hakuna asiyetambua kwamba uhai wake una mashaka makubwa. Kusema...
Tendaguru ni eneo linalopatikana katika Wilaya ya Lindi Vijijini, takriban kilomita 60 kaskazini magharibi mwa mji wa Lindi. Tendaguru au Tendeguru ni neno la Kimwera, likiwa na maana ya kilima.
Mwaka 1906 wakati huo Tanganyika ikiwa koloni la Ujerumani, kwenye pitapita zake chini ya mlima...
Haya nitakayo yasema kaa mwenyewe ufikiri uone kama ni sawa ama laa
1. Vigodoro visivyo na staha watu wanacheze uchi wanavua nguo mbele ya watoto na watu wanashangilia
2. Singeli, watu wanaimba kwa kutukana wanacheza na mapanga vurugu tupu
3. Khanga moja na vibao kata, mtu anavua nguo...
Miongoni mwa watu ambao wanatakiwa kupewa heshima zote hapa duniani ni wadada wa kazi za nyumbani ( house girl), maana hawa wamekuwa wana msaada mkubwa sana katika familia zilizo nyingi. Wamekuwa wakiwasaidia wenye nyumba katika kutimiza majumu mbalimbali ambapo mimi binafsi naamini kazi hizo...
Faida za limao au ndimu zinajumuisha matumizi kama tiba kwa ajili ya vidonda vya kooni, matatizo katika mmeng’enyo wa chakula, matatizo ya meno, homa, kuvuja damu ndani ya mwili, baridi yabisi, kutibu malengelenge, uzito kupita kiasi, matatizo katika mfumo wa upumuwaji, kipindupindu na shinikizo...
Katika jamii zetu za kiafrika suala la mwanaume kumzidi umri mwanamke katika sekta ya mahusiano limekuwa ni suala la kawaida sana, lakini pindi inavyotokea kinyume chake watu wengi hubaki vinywa wazi huku watu wengi wakishangaa kuona mwanamke mwenye umri mkubwa akiolewa ni mwanaume mwenye umri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.