Bedui la bongo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 297
- 306
Assalaam alaykum Bwana Yesu asifiwe wana JF swala langu kwa wajuzi wa masuala ya kupanga nyumba za shirika la taifa NHC ukoje kwa maana nimejaribu kitembea takribani mikoa 16 tanzania hapa na nmepata bahati ya kutembea maeneo ya mjini ila mikoa yote nayoenda nikikutana na nyumba za NHC nimekuwa nikikuta WAARABU NA WAHINDI tu sasa naomba kujua hizo nyumba zimejengwa kwa ajili yao wageni tu WATANZANIA wananyumba zao ama wao wanazipata vp mpaka wamejazana WAHINDI NA WAARABU TU kwenye nyumba hizo
Nawasilisha kwa wanaojua utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile appiphone
Nawasilisha kwa wanaojua utaratibu
Sent using Jamii Forums mobile appiphone