Search results

  1. Mr Geniuz Km

    Dereva nipo Tuwasiliane wamiliki wa Magari

    Wamiliki wa Magari ya Mizigo Dereva nipo Tuwasiliane Mnipe kazi . Bidii | Juhudi | Umahiri ndo falsafa yangu 0686065052
  2. Mr Geniuz Km

    Wakili aliyebobea katika maswala ya Ardhi au Mirathi msaada tafadhali

    Husika na somo tajwa, Wakili aliebobea katika sheria za ardhi na mirathi , tuwasiliane Tafadhali
  3. Mr Geniuz Km

    Chumba kinahitajika

    Chumba kinahitajika Dodoma mjini Bei ianzie Elfu ishirini kwa Mwezi ( 20,000 ) Mwenye nacho ?
  4. Mr Geniuz Km

    Nauza laptop

    ~Husika na Somo tajwa Aina: DELL Model: 630 RAM: 3GB HDD: 80GB Display: 13inch USB PORT: 4 HDMI: 1 VGA: 1 JACK: 3.5mm Wireless: yes Na sifa nyinginezo kibao ' ~Price 250k ( 250,000 ) NB: Inafaa kwa matumizi yote ' ipo katika hali nzuri as New Na haina tatizo lolote Mawasiliano...
  5. Mr Geniuz Km

    Mimi ni dereva na fundi wa magari, natafuta kazi

    Mimi ni Dereva , mwenye leseni pia ni Mtaalam wa Matatizo ya Gari. Yeyote mwenye uhitaji wa Dereva wa Gari yake nipo Tayari kufanya nae kazi . Nna uzoefu wa miaka 8 wa udereva na uzoefu wa miaka 6 wa Matengenezo ya Magari . Taaluma zote mbili za Udereva na matengenezo ya Magari nimesoma...
Back
Top Bottom